Live circuit
Senior Member
- Mar 11, 2023
- 124
- 366
Aliekupa urithi atakua na ushauli mzuri Sana,
Kama mzee yupo muulize kaa nae vzr
Kama mzee yupo muulize kaa nae vzr
Unataka mpaka uimalize yote sioNimepata nyumba chamazi kwa ml 15 sasa nawaza hiyo inayobaki
Kwenye swala la madini unaweza ukatoboa kama ukiwa mnunuzi mzuri na makini kwenye dhahabu
Mnaomba ushauri bila kutaja conditions mnatutia uvivu, ngoja nikupe in general. Chukua milioni 10 weka fixed account miezi sita. Unabaki na 8MNimepata nyumba chamazi kwa ml 15 sasa nawaza hiyo inayobaki
Kwa hela hiyo fixed account kwa mwezi atakua anaingiza sio zaidi ya laki na arobaini ,hamna kitu1. Ziweke fixed kwanza huku ukipunguza na kufikiria kwa umakini.
Ziweke fixed hata miezi 3 huku uki brain storm.
2. Kila biashara inalipa ukihadithiwa.
Nachokushauri kwenye biashara "FOLLOW UR PASSION""
Au kama vipi Tuagize biaaa
#YNWA
Mil 10 fixed account kwa miezi 6 haizidi 360000Mnaomba ushauri bila kutaja conditions mnatutia uvivu, ngoja nikupe in general. Chukua milioni 10 weka fixed account miezi sita. Unabaki na 8M
Milioni 3 agiza incubator ya mayai si zaidi ya 2000 hivi hela hiyo inatosha kununua, kusafirisha hadi Dar endapo uko jiji hili. Hapo inabaki 5M
After a month hapo ushafanya research na unasubiri incubator ifike kwani itachukua kama 50 days from ordering day mpaka kushushwa bandarini mpaka godown, panga chumba maeneo ya Kimara au eneo lolote lenye wafugaji wengi wa kuku, itategemea na research yako. Lipa kama 100k per month, ukilipa kodi ya 6months ni 600k plus hela ya kununua vitu 1.4M jumla ni 2M, hakikisha hapo kuna eneo la kutosha na sio mjini sana. Unabaki na 3M.
Wakati huo toa 1M ya kutumia kwenye vitu vya kijinga, hela inawasha siku zote. Unabaki na 2M hiyo ishi nayo tu kazi yako kutotoreshea watu vifaranga. Utaongeza mambo mengine kwenye huo ujasiriamali.
After 6 months ushaijua biashara toa 10M ikuze. Hiyo ni idea moja tu, zipo nyingi
UKinunua nyumba umepotea tayar..... tqfuta fani yeyote ya kusomea veta... halafu hiyo milioni 14 weka fixed deposit kwanza kichwa kitulieWakubwa Kwema?
Kama kichwa cha Habari kinavyoeleza hapo juu
Mimi ni kijana wa miaka 24, nimepewa Urithi wangu mapema kiasi cha milion 18 net.
Nimeambia hizo pesa nikizifanyia ujinga ndiyo basi tena nitakuwa sina kitu kwa mzee sasa nimewaza kununua hata kijumba cha milioni 14 nje ya Dar es salaam hata cha vyumba viwili.
Halafu 4 inayobaki nijaribu kuitia kwenye biashara yoyote itakayoweza kuizalisha sasa wakuu napagawa kwa sababu sikujipanga nisaidie kwa lolote hiyo kwangu ndo karata ya mwisho![]()
Wapi mkuuMimi mwenyewe Nina eneo la urithi pia lipo zaidi ya ekari moja kwa hiyo nakutolea 40* 40 kwa hiyo 7m Ni tambarare pazuri
Tafta demu mkaliii alaf nunua na crown moja used ikupe presha ufe


kwahiyo unatak ubaki kuwa boss peke yakokwahiyo unatak ubaki kuwa boss peke yako
Sasa kama madogo wanaweza pewa 18m na hajui mzaz kazipataje hawezi kuchanga akili yake akajiendeleza huoni tuna tatizo kubwa zaidi ya kulaumu serikali kua ajira hakuna mfano halisi ndio huyu mleta mada kabla hajapewa hizo 18 ukichunguza vizuri alikua anasubiri aajiriwe ndio maana kapata hicho kidogo hajui afanyeje huyu hata ukimuajiri kwenye kampuni hakuletei faida hata kidogo vijana hawana ushindani na malengo ndio ziro kabisa