Nenda Advatech EFD machine 750,000/-. Unawalipa 350,000 balance unamalizia baada ya miezi mitatu.Wadau habari zenu!
Leo nimefika kwenye biashara yangu nimekutana na barua wakinitaka kununua mashine ya efd na wamenipa siku 7 la sivyo watakuja kupiga makufuli, Je hii ni sawa maana nina mtaji wa kawaida tu hata mil 30 hazifiki!
Je kuna namna yeyote ya kuomba kuongezewa muda? Je ni kweli kwamba mashine ni laki 8? Je hakuna mashine zenye bei nafuu kuliko hiyo? Na ikiwa watafunga biashara faini yao ni kiasi gani?
Natanguliza shukrani!
Wanasema mapato kama yanazidi 14m kwa mwaka inabidi uwe na mashineMbona mimi mtaji wangu hauzidi 5ml jamaa wanakomaa na mimi ninunue hayo ma efd
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenitisha car wash yako iko mkoa gani maan kama imefungwa yako na me nianze kutia maji.mi pia carwash yangu imefungwa aisee
Kiujumla wafanya Biashara ni Mabingwa wakulalamika Tanzania
wangejua nikiasi gani wafanyakazi wanakatwa kila mwezi wangeenda kulipa hizo kodi bila break
wanadaiwa kiasi kidogo sana ukilinganisha na mapato wanayo pata kila siku
Akiba,jengo ilipo wizara ya kazi.Wanapatikana wapi? Una mawasiliano yao?
mhhh sijui mimi ni mshamba sana wa hii teknolojia............ sidhani kama upo sahii mpendwaMimi ninayo mashine ya maximalipo yenye uwezo wa kuunganisha efd ninauza mwenye pesa aje pm tuzungumze
Napatikana kagera
Wadau habari zenu!
Leo nimefika kwenye biashara yangu nimekutana na barua wakinitaka kununua mashine ya efd na wamenipa siku 7 la sivyo watakuja kupiga makufuli, Je hii ni sawa maana nina mtaji wa kawaida tu hata mil 30 hazifiki!
Je kuna namna yeyote ya kuomba kuongezewa muda? Je ni kweli kwamba mashine ni laki 8? Je hakuna mashine zenye bei nafuu kuliko hiyo? Na ikiwa watafunga biashara faini yao ni kiasi gani?
Natanguliza shukrani!
Kuiibia serikali vip? Mbona nimekuwa nikilipa kodi bila hata hizo mashine?