Nimependa jinsi watu wa Bukoba wanavyojenga vijiji vyao

Halafu ktk zile picha zenye mitaa ni mjini maana vijijini kuna migomba na kahawa, nyumba mbili tu ndo za kijijini
Wahaya wanaishi wilaya gani ili tuweze kuwatofautisha na wanyambo? Maana sisi huku mjini hatuwezi kuwatofautisha wote wanaongea lafudhi moja na tabia zinafanana. Kingine kwenye survey fulani ya umasikini mkoa wa Kagera unaongoza kwa umasikini nafikiri ni wapili toka mwisho baada ya Rukwa. Tupe details isije ikawa umevizia vinyumba viwili vitatu ukapiga picha.
 
Sinaga muda wa kuangalia ubaya wa watu Mimi.

Naconcetrate na mazuri Tu


Kama ni hivyo na wewe unayo mapungufu makubwa.

Kujua mazuri ya mtu ni njia mojawapo ya kujifunza hayo mazuri, kujua mabaya ya mtu ni njia mojawapo ya kuepukana naye ikibdi iili usidhurike na maovu yake isitoshe kama nafasi inaruhusu unaweza kutumia nafasi hiyo kumuasa juu ya maovu yake, ndiyo maana hata Mungu akiwatuma mitume duniani kuja kuwaonya watu waovu, unapomuonya mtu muovu hata Mungu hupendezwa na hivyo atakupa thawabu-- kama wewe ni mtu wa Mungu kwambali au sana utanielewa.
 
MARANGU KILIMANJARO SAME TO OR PART OF EUROPEAN COUNTRIES
1600715668266.png
1600716021108.png

1600715796282.png
1600715877118.png
 
Mtoa post atakuwa nayeye mhaya, hivyo yupo kazini kama wahaya wengine tu.
Misifa.
 
Back
Top Bottom