Nimependa jinsi watu wa Bukoba wanavyojenga vijiji vyao

Ukitaka kuona vijiji vilivyojengwa na kupangika nenda kajionee vijiji vya mkoa wa Rukwa!
 
Nchi hii ukiitoa kilimajaro na mbeya kiasi. Ni mikoa gani mingine at least mitatu ambayo vijiji vyake (vya wazawa) vinaweza at least kufikia standard ya nyumba zilizopo migombani Kagera.. Ningependa kujua tu
Siyo rahis, binafsi naaminj Kwa Wahaya, Wachaga na Wanyakyusa wamejitahid sana
 
Kama hakupunguzii wala kukuongezea kitu kwenye Maisha yako Acha wajisifu tu


Kama umesoma theology kamwe huwezi kumuacha mwenzako awe na tabia ya majisifu, majisifu hujenga kiburi, kiburi hujenga dharau na hizo ni sifa za shetani, shetani ni kiumbe wa motoni.

Ni Mungu hasa anayepaswa kusifiwa, mtu anatakiwa asifiwe na sio ajisifu.
 
Serikali ijitahidi kuwekeza katika miundombinu ya barabara katika vijiji hivi, ikifanya hivyo nadhani vijiji hiv vitageuka kuwa vya mfano Tanzania
Vijiji vya mfano vitajengwa Chato na watalii watatua na ndege kushangaa vijiji na burigi
 
Siyo rahis, binafsi naaminj Kwa Wahaya, Wachaga na Wanyakyusa wamejitahid sana

sanaa ..ukitaka kujua umaskini wa hii nchi nenda vijijini, kuna vijiji ni jehanum ndogo. Yaani hawana shule, hospitali na hata maji tu ya shida. Magonjwa ya kukosa lishe bora na makazi ambayo sio ya kukalika ni kila sehemu daahh.
 
Mimi Nina ID zaidi ya Mia moja humu kwa taarifa yako na password nimehifadhi kwenye diary

Kwani nilivyosema wewe ni wale wale sawa na mleta uzi uliilewa namaamisha nini!? Wala sikuhitaji ujieleze kama ulivyojiweka wazi!
 
Ndiyo na focus mazuri ili nijifunze lakini nitakuwa mchoyo wa fadhila kutoku focus kwa mabaya ili na wao wajifunze mema.
Kabla ya kuangalia ubaya wa wengine . Vipi ubaya wako umeuangalia Kwanza?
 
Kama umesoma theology kamwe huwezi kumuacha mwenzako awe na tabia ya majisifu, majisifu hujenga kiburi, kiburi hujenga dharau na hizo ni sifa za shetani, shetani ni kiumbe wa motoni.

Ni Mungu hasa anayepaswa kusifiwa, mtu anatakiwa asifiwe na sio ajisifu.
Haya kafungue kanisa huko bukoba kawabadilishe . Nchi kufungua kanisa inaruhusiwa kabisa.


Lakin husipende Sana kujudge tabia za watu focus na zako kwanza
 
Picha zingepigwa kwa ukaribu tupate kuona vizuri

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Naam hebu enjoy vizr bukoba vijijinView attachment 1575425View attachment 1575427View attachment 1575428View attachment 1575430View attachment 1575426View attachment 1575429View attachment 1575431View attachment 1575432
265086489.jpg
 
Back
Top Bottom