Nimependa jinsi watu wa Bukoba wanavyojenga vijiji vyao

Kabla ya kuangalia ubaya wa wengine . Vipi ubaya wako umeuangalia Kwanza?



Ubaya wangu unatakiwa uuangalie wewe sio mimi kwani inawezekana mtu asizijue kasoro zake.

Wewe hujasikia:-- Nyani haoni kundule. 🤣
 
Haya kafungue kanisa huko bukoba kawabadilishe . Nchi kufungua kanisa inaruhusiwa kabisa.


Lakin husipende Sana kujudge tabia za watu focus na zako kwanza


Wewe ni Muhaya???-- badala ya kunishukuru kwa kuonyesha kasoro zenu wewe unanilaumu???-- Ubinadamu kazi kweli.

Muhaya ni Muha aliyeongezewa "ya".🤣
 
Nbeya hamba kitu
Nchi hii ukiitoa kilimajaro na mbeya kiasi. Ni mikoa gani mingine at least mitatu ambayo vijiji vyake (vya wazawa) vinaweza at least kufikia standard ya nyumba zilizopo migombani Kagera.. Ningependa kujua tu
 
Ubaya wangu unatakiwa uuangalie wewe sio mimi kwani inawezekana mtu asizijue kasoro zake.

Wewe hujasikia:-- Nyani haoni kundule.
Sinaga muda wa kuangalia ubaya wa watu Mimi.

Naconcetrate na mazuri Tu
 
Wewe ni Muhaya???-- badala ya kunishukuru kwa kuonyesha kasoro zenu wewe unanilaumu???-- Ubinadamu kazi kweli.

Muhaya ni Muha aliyeongezewa "ya".
Kasoro zako ushazionesha Kwanza?


Upo unatoa punje kwenye jicho la mwenzako kumbe we Una boriti
 
Naona sasa nao WANAAMKA SASA hongereni sisi huku njombe tunasonga mbele japo tunabanwa sana mpaka hatupumui
 
Huyu ni instanbul kabadili ID.
Huyu ni muhaya wa katerero kanyigo,
Nimetembea Tz nzima but moja ya mikoa ambao nimeupenda Kwa mandhari na maendeleo yake ni kagera hasa vijiji vya Wahaya.

Asilimia kubwa ya hivi vijiji vya Bukoba vina majumba makubwa na ya kifahari, nyumba mbovu zimebaki chache sana na vijiji vingine zikiisha kabisa.

Hongereni sana watu wa Bukoba.

View attachment 1575169View attachment 1575170View attachment 1575171View attachment 1575172
View attachment 1575167View attachment 1575168
 
Wahaya wanaishi wilaya gani ili tuweze kuwatofautisha na wanyambo? Maana sisi huku mjini hatuwezi kuwatofautisha wote wanaongea lafudhi moja na tabia zinafanana. Kingine kwenye survey fulani ya umasikini mkoa wa Kagera unaongoza kwa umasikini nafikiri ni wapili toka mwisho baada ya Rukwa. Tupe details isije ikawa umevizia vinyumba viwili vitatu ukapiga picha.
 
Back
Top Bottom