Nimependa hivi viatu

Nimependa hivi viatu

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
ImageUploadedByJamiiForums1432228174.446353.jpg
 
Mi nimependa rangi ya ukuta wa hiyo nyumba.
 
Mguu wa kulia wa pundamilia wetu, umenipa maswali. By the way pundamilia huwa wana mwonekano wa upole
 
Mwenzenu sijizuwii na punda milia. Hasa pande za kulia
 
Alaf huyo aliyesimama amenikinga kuona sehem ya ukuta lakini kwa kweli kazi ya fundi rang inaonekana kajitahidi sana kufanya uchaguz wa rangi ya kupaka
 
Mi kinanifanya nisi hamaiki sana na uzuri wa hawa viumbe ni mavumbi tu na mavumbini ndio makao ya kudum ya huo uzuri

Unaweza kutabasamu kwa mema na mazuri uyakumbukayo
 
Ck nyingine wekeni.na no.za cm c vzr kuishia njian na matangazo yenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom