Nimependa hivi viatu

Nimependa hivi viatu

Hongera Bulldog kwa kutoa semina ya jinsi ya kukwepa sheria ya vyombo vya habari, mara upende tiles, mara viatu!
 
Dah!!.... Huyu kama anaishi Rombo, basi vijana wa huko ni hasara tupu!!!!

Unashindwaje kujikakamua mbele ya mashine kama hii???:becky::becky:

hahahaaa!
 
hivi hizo ni nywele zake? au bandia amependeza sana
 
Msione vinaelea vimeundwa.

Semeni Ma sha Allah.

Yaani Bi'Mkubwa weye huwa unanifurahisha sana. Kila mada na karibu kila Jukwaa umo...kasoro tu lile la kule chini kabisa:becky::becky:
 
Hongera Bulldog kwa kutoa semina ya jinsi ya kukwepa sheria ya vyombo vya habari, mara upende tiles, mara viatu!

Kwi Kwi Kwi. Lkn huo ndo ukweli wenyewe. Anasema alichopenda.
 

Attachments

  • 1432356950446.jpg
    1432356950446.jpg
    27.6 KB · Views: 246
Ma sha Allah, ni kweli enzi za ujana wako ulikuwa mrembo, mcute, msweet kuliko huyu? cc FaizaFoxy

ajambe ah sorry atambe? Samahan simu yangu haina kitufe cha kuclear!
 
Last edited by a moderator:
Dah huyu mtoto namuonaga Insta namliaga timing tu..... Mkuu Bulldog una namba zake 😝😃
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom