baba mausingizi
Senior Member
- Jun 15, 2016
- 189
- 119
Helo hapa jukwaani, hope mpo poa
Niingie moja kwa moja katika ishu mtego wangu umeshika chui Kuna mdada mmoja anafanya kazi saloon ya kiume scrub Yaani ni kicheche
Sana na namfahamu coz nilikuwa nakaa nae mtaa mmoja zamani, miezi miwili iliyopita nilikutana nae sehemu tunabadilishana namba sijui nn kilitokea nikajikuta natoka nae na nilijua napigaa nasepa ila nikajikuta narudia rudia sasa mchumba wangu amerudi maana alisafiri nataka kumuacha yule mchepuko, aisee najikuta siwezi kashaingia moyoni na anaomba nimuoe amechoka kutumika bila faida na anataka kutulia na mimi nabaki njia panda na mchumba wangu tulipanga mwakani mapema tufunge ndoa.
Je yule mchepuko anaweza kuwa mke? Au nioe yule mchumba angu? Mchepuko kanikolea najuta tanga bhana