Nimepatikana kwa kahaba

Nimepatikana kwa kahaba

Chukua mchepuko wewe huyo mchumba kwanza hata humjui vizuri tena mzurulaji tu .
Mwenyewe umethibitisha kuwa kigegedo cha Salon kipo poa mbaya ,oa mchumba ukose mavitu ya ukweli utajikuta upo chumbani na mkeo lakini kwenye ubongo mchepuko kajaa na hupigi bao mpaka umfikirie changu wako!
Chukua changu huyo atakuridhisha zaidi
 
Mkuu yani na enjoy Sana
 
Ha ha ha ndo matatizo ya kuzibua chemba lazima utake tena na tena.... Endelea na mchumba wako kama hutaki kujuta, malaya ni malaya tu. Kunguru hafugiki labda uwe mchawi
 
labda umalizie usingizi tu, ukiamka, akili zitakuwa zimekurudi
 
Huko ni kupatwa Kwa mchepuko akili zako changanya na za kuambiwa hapo mmesukumwa na nguvu ya ngono (dopperman) ikiisha utamuona wa kawaida ushalamba asali ndo maana dini na mila zinakataza kuonjana kabla kama anafaa chukua weka ndani. Asiekuwepo na chake hakipo
 
Back
Top Bottom