Nimepata vidonda kama picha inavyoonesha. Je, ni ugonjwa gani huo?

Na bado ndo vimeanza, vitaitafuna na siku si nyingi utakojoa damu.
Wahi hospital mapema kabla hayakukuta makuu.
 
Pole sana mkuu.Je kidonda hicho kinauma?Katika dalili za mwanzo za Kaswende( syphillis) kidonda kama hicho hutokea kitaalamu inaitwa chancre lakin huwa ni painless ( hakina maumivu) lakin whatever the case wahi hosp kwa matibabu ndugu usije ukaharibu mfumo wako wa uzazi.
 
Chancre vs Chancroid, T.pallidum vs H.ducrey.

Awai hospital.
 
Back
Top Bottom