Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,422
- 21,116
Roho inaniuma sana,nimeathirika kijinga sana
Yani niliomba sigara kwa demu flani club kupiga mistari kadhaa kumbe yule demu ni muathirika na alikuwa na michubuko mdomoni
Asa na mimi nilikuwa na michubuko kidogo nilivyovuta ile sigara inaonekana virusi nilipata kwa njia iyo
Naumia sana.