Nimepata ukimwi kwa kugongea sigara.

Huo ugonjwa sio jambo la kuomba au lakutafutia kiki,nikumuomba Mungu atunusuru na kutulinda na magonjwa yote na ajali.
 
Roho inaniuma sana,nimeathirika kijinga sana

Yani niliomba sigara kwa demu flani club kupiga mistari kadhaa kumbe yule demu ni muathirika na alikuwa na michubuko mdomoni
Asa na mimi nilikuwa na michubuko kidogo nilivyovuta ile sigara inaonekana virusi nilipata kwa njia iyo

Naumia sana.
hii kali
 
Kitabibu virusi ndani ya mate ni inactive. Na virusi havienei through oral cavity kwasababu root hiyo haina multiplication nodes.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamejazana vichaa huko Mkuu.
Hiyo.
img-20171022-wa0015-jpg.614553.jpeg
 
Back
Top Bottom