Labda kama watabishana na Neno La Mungu.ha ha subili watumishi wa Mungu waje wakubishie mpaka kesho hawatakubali na kukupa laana juu. lkn ukweli ni kwamba Mheshimiwa alikuwa anaonja kinywaji japo wanasema hakikuchachishwa mi sijui.
Labda uniambie kama nimeongeza kitu kwenye hayo maandiko.Asprin unatakiwa usome Biblia yote na kuichambua sio kipengele kimoja tu unajihalalisha kunywa pombe.
Kwanini ukinywa pombe kina eliza woote unawaona warembo wakati kabla ya hapo ulikuwa unawaona wa kawaida?
Pombe inachochea maasi ..
Hapo awali msimamo wangu ulikuwa kwamba nitaacha pombe endapo tu:
1. Nimeshauriwa na daktari kwa manufaa ya afya yangu.
2: Nimeishiwa kiasi kwamba kununua bia unakuwa mzigo mkubwa
Nilishawishiwa na baadhi ya watumishi wa Mungu kuwa niache pombe, kwa kuwa eti pombe ni dhambi (imagine, eti bia ni dhambi?). Aisee walikaribia kufanikiwa mpaka nilipokutana na Neno Hili Takatifu toka katika kitabu Kitakatifu Cha Mungu. Hapa aliandika Mtakatifu Matayo katika Sura ya 11 ya Injili yake:
.16"To what can I compare this generation? They are like children sitting in the marketplaces and calling out to others: 17" 'We played the flute for you, and you did not dance; we sang a dirge and you did not mourn.' 18For John came neither eating nor drinking, and they say, 'He has a demon.' 19The Son of Man came eating and drinking, and they say, 'Here is a glutton and a drunkard, a friend of tax collectors and "sinners." ' But wisdom is proved right by her actions."
HILO NDILO NENO LA MUNGU!
Leo ntakunywa bia kwa raha sana.
Ahsanteni na wikiendi njema!!!!
Kama ni hivyo, hebu soma hii:hahaha, rafiki yangu, Yohana alikuwa anakula asali na nzige/senene bila shaka. hicho ndo kilikuwa chakula chake. Yohana alikuwa hali mikate kama Yesu, wala alikuwa hanywi divai kama Yesu. Cha kuelewa hapa ni kwamba, si divai zote ni kilevi, kuna divai ya kulevya na divai isiyolevya.
The Following 2 Users Say Thank You to Asprin For This Useful Post:hahahaha
mpwa mtu ambae hata kupa senksi hapa ni MCHAWI
Labda uniambie kama nimeongeza kitu kwenye hayo maandiko.
Ukweli ni kwamba chochote ukikitumia vibaya kinasababisha kutenda dhambi. Kisu ukikitumia vibaya si unaua? Kwa hiyo kisu kikatazwe kutumika?
Preventive is better than cure ...Kisu hakiwezi kukukata kama una akili zako timamu na umefata sheria zote za kiusalama wakati wa kukitumia.
Lakini Pombe ..Dah ukilewa kupita kiasi unaweza hata kukojoa mbele ya mkweo ..ndo nini hiyo bana Asprin...
Unakuwa huru kuwatongoza tongoza kina Eliza akipita umeshika kiuno ,mala umepapasa nyonyo ,mala aaaaaaaaaaaaaaaaaaggh..
Kama ni hivyo, hebu soma hii:
18For John came neither eating nor drinking, and they say, 'He has a demon.' 19The Son of Man came eating and drinking, and they say, 'Here is a glutton and a drunkard,
How come mtu anywe divai isiyolewesha halafu aitwe mlevi???? Isitoshe maneno hayo alikuwa anayasema Yesu mwenyewe kuwa amekuja anakula na kunywa watu wakamwita mlafi tena mlevi. Asingeweza kusema nimekunywa divai isiyolewesha mkanisingizia mlevi?
Si umeona? Same applies to ulabu. Kama nimepiga bia zangu mbili nikajirudia zangu home kucheza na watoto kuna ubaya wowote hapo na Mungu?
sasa mtu akiwa anakula chakula, anaitwa na watu mlafi, unafikiri alikuwa anakula hadi kuvimbiwa? na mtu kama alikuwa anakunywa divai, na watu wakasema mlevi, unafikiri alikuwa anakunywa pombe?...hivi kula ni ulafi? na kunywa ni ulevi?....cha maana ni kwamba, Neno la Mungu haliwezi kujipinga, Kuna maeneo mengi mno nitakuletea yanaongelea kuwa pombe ni haramu..na Biblia inasema Yesu hakutenda dhambi hata moja, hivyo kama pombe ni haramu, Yesu hakunywa, angekuwa amekunywa Yesu asingesemwa kuwa hakutenda dhambi...Unaliamini Neno la Mungu kuwa ni amina na kweli? au? hivi wewe ukichukua ule mvinyo mweusi uliotokana na kuchujwa kwa zabibu ukanywa ina maana unakuwa umekunywa pombe?
zaidi ya yote, unachotakiwa kujua ni kwamba, kipindi kile, hakukuwa na chai ama kahawa ama vitu vingine hivi...mtu akila mkate, alikuwa anashushia na divai (isiyolevya), divai ilikuwa kama chai ya sasa, haikuwa inanywewa ile ya kulevya. sasa, watu wote utakaowapotosha hapa kwa maneno yako, damu yao itadaiwa mikononi mwako siku ile ya mwisho...!
Hivi wale jamaa wa Alshabab wa somalia - waasi wa serikali ya Somalia (kama ipo) nao wanakunywa sana pombe eehh!! au maasi unayongelea ni asprin kumuona Eliza mzuri baada ya bia ya saba na valuu mbili?Asprin unatakiwa usome Biblia yote na kuichambua sio kipengele kimoja tu unajihalalisha kunywa pombe.
Kwanini ukinywa pombe kina eliza woote unawaona warembo wakati kabla ya hapo ulikuwa unawaona wa kawaida?
Pombe inachochea maasi ..
Preventive is better than cure ...Kisu hakiwezi kukukata kama una akili zako timamu na umefata sheria zote za kiusalama wakati wa kukitumia.
Lakini Pombe ..Dah ukilewa kupita kiasi unaweza hata kukojoa mbele ya mkweo ..ndo nini hiyo bana Asprin...
Unakuwa huru kuwatongoza tongoza kina Eliza akipita umeshika kiuno ,mala umepapasa nyonyo ,mala aaaaaaaaaaaaaaaaaaggh..