Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,638 Reaction score 49,048 Apr 11, 2022 #1 Mungu ni mwema. Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume. Mama na mtoto ni wazima. Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM. Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake.
Mungu ni mwema. Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume. Mama na mtoto ni wazima. Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM. Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake.
proskaeur JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 1,582 Reaction score 4,942 Apr 11, 2022 #2 Stroke said: Mungu ni mwema. Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume. Mama na mtoto ni wazima. Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM. Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake. Click to expand... Daah, eti Kadi ya CCM
Stroke said: Mungu ni mwema. Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume. Mama na mtoto ni wazima. Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM. Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake. Click to expand... Daah, eti Kadi ya CCM
Championship JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,551 Reaction score 10,798 Apr 11, 2022 #3 Hongera, mtoto mwache afanye maamuzi yake mwenyewe na ninamuombea asiwe na kichwa 'race' kama chakwako.
Hongera, mtoto mwache afanye maamuzi yake mwenyewe na ninamuombea asiwe na kichwa 'race' kama chakwako.
Patra31 JF-Expert Member Joined Apr 24, 2020 Posts 6,933 Reaction score 13,944 Apr 11, 2022 #4 Ongera
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,583 Reaction score 66,265 Apr 11, 2022 #5 Stroke said: Mungu ni mwema. Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume. Mama na mtoto ni wazima. Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM. Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake. Click to expand... Muite mwamayele
Stroke said: Mungu ni mwema. Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume. Mama na mtoto ni wazima. Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM. Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake. Click to expand... Muite mwamayele
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,638 Reaction score 49,048 Apr 11, 2022 Thread starter #6 Championship said: Hongera, mtoto mwache afanye maamuzi yake mwenyewe na ninamuombea asiwe na kichwa 'race' kama chakwako. Click to expand... Akili za kichadema chadema marufuku kwangu.
Championship said: Hongera, mtoto mwache afanye maamuzi yake mwenyewe na ninamuombea asiwe na kichwa 'race' kama chakwako. Click to expand... Akili za kichadema chadema marufuku kwangu.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,182 Reaction score 69,692 Apr 11, 2022 #7 Hongera Sana Kwa Family Kuongezeka Ila Hapo Ccm Ndiyo Ukakasi
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,638 Reaction score 49,048 Apr 11, 2022 Thread starter #8 mwachiluwi said: Muite mwamayele Click to expand... Mimi shabiki wa Simba mkuu.
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,560 Apr 11, 2022 #9 Usimuandalie ujinga mtoto
Championship JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,551 Reaction score 10,798 Apr 11, 2022 #10 Stroke said: Akili za kichadema chadema marufuku kwangu. Click to expand... Awe na mawazo huru tu. Chadema unawaota kila wakati. Lazima unawakubali moyoni.
Stroke said: Akili za kichadema chadema marufuku kwangu. Click to expand... Awe na mawazo huru tu. Chadema unawaota kila wakati. Lazima unawakubali moyoni.
Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 19,850 Reaction score 42,030 Apr 11, 2022 #11 Possible future mwenyekiti.
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,638 Reaction score 49,048 Apr 11, 2022 Thread starter #12 Eskhaleni said: Usimuandalie ujinga mtoto Click to expand... Usinipangie tafadhali.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,243 Apr 11, 2022 #13 Mpe jina la yule mwendazake
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,638 Reaction score 49,048 Apr 11, 2022 Thread starter #14 Daudi Mchambuzi said: Mpe jina la yule mwendazake Click to expand... Anaitwa Moses.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,182 Reaction score 69,692 Apr 11, 2022 #15 Aitwe Ccm
Kilimbaym JF-Expert Member Joined Mar 14, 2022 Posts 451 Reaction score 692 Apr 11, 2022 #16 Stroke said: Mungu ni mwema. Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume. Mama na mtoto ni wazima. Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM. Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake. Click to expand... huyu mtoto atakuwa ni mwanachadema
Stroke said: Mungu ni mwema. Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume. Mama na mtoto ni wazima. Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM. Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake. Click to expand... huyu mtoto atakuwa ni mwanachadema
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,638 Reaction score 49,048 Apr 11, 2022 Thread starter #17 Kennedy said: Aitwe Ccm Click to expand... Haswaa.
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,638 Reaction score 49,048 Apr 11, 2022 Thread starter #18 Kilimbaym said: huyu mtoto atakuwa ni mwanachadema Click to expand... Ushindwe.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Apr 11, 2022 #19 Stroke said: Mungu ni mwema. Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume. Mama na mtoto ni wazima. Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM. Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake. Click to expand... Mtoto unamkabidhi kwenye hii madhabahu kweli? Chanzo Cha Matatizo Chama Cha Mazezeta Chama Cha Mashetani Chama Cha Mafisadi
Stroke said: Mungu ni mwema. Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume. Mama na mtoto ni wazima. Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM. Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake. Click to expand... Mtoto unamkabidhi kwenye hii madhabahu kweli? Chanzo Cha Matatizo Chama Cha Mazezeta Chama Cha Mashetani Chama Cha Mafisadi
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,638 Reaction score 49,048 Apr 11, 2022 Thread starter #20 Bujibuji Simba Nyamaume said: Mtoto unamkabidhi kwenye hii madhabahu kweli? Chanzo Cha Matatizo Chama Cha Mazezeta Chama Cha Mashetani Chama Cha Mafisadi Click to expand... Namkuza katika misingi ya ujamaa na kujitegemea.
Bujibuji Simba Nyamaume said: Mtoto unamkabidhi kwenye hii madhabahu kweli? Chanzo Cha Matatizo Chama Cha Mazezeta Chama Cha Mashetani Chama Cha Mafisadi Click to expand... Namkuza katika misingi ya ujamaa na kujitegemea.