Hongesaaaaa
Shukran sanaa... Hlo nmewaachia mama yake mke wangu na bibi yangu mzaa baba wamwangalie vzr...Hongera sana mkuu.
Kikubwa ahudhurie clinic asikilize anashauriwa nini na wataalamu.
Fuata ushauri wa mama zenu pande zote mbili hao ndiyo wanajua zaidi.
mtoto akikosea wewe na mkeo mrekebisheni au mpigeni bakora.
Mambo ya kumuita mtoto mpumbavu,kumsimang'a,kujifanya mnamjua sana mara wewe huwezi hiki huwezi kile,sijui wewe mjinga kuliko wenzako.msifanye.
Kama kuna kitu wazazi wana fail ni ku mistreat mtoto kisa kakosea,kama kakosea na kimekuuma unahisi stick zihusike piga stick mwambie kosa,kaa kimya.
Chakula chakula chakula,msimlishe mtoto upuuzi kwa mwavuli eti nampenda mwanangu au kalilia,Hii ni ishu simple lkn kaa na mkeo umwambie kbs.Hamna mapenzi ya kumnunulia mtoto wa mwaka 1 azam energy drink.
Awali ya yote, ulikunywa pepsi siku ya kufunga ndoo?
Bro usisahau kumfunga mtoto vile vidude vyeusi mkononi na kiunoni na umpake ile rangi nyeusi kwenye paji la uso
Hongereni....
Nakukumbusha tu mkeo kwa sasa anaumwa bado, kimwili na kisaikolojia mpe muda usianze kunyapia nyapia hata mwezi haujaisha jikaze, kuwa nae pamoja.
Niko imara...Kipindi hiki ndo mchepuko unakuwa na moto sana
Mashallah, hongereni sana
Ahudhurie clinic maa wa mtoto aweze kupata chanjo na kupimwa uzito na mengineyo ambayo mama akienda huko au mkienda pamoja mtayapata
Hongera...kusoma ulimaliza lkn
Natafuta chuo cha kuhamia kwa diploma in nursing
Natafuta chuo cha kuhamia kwa diploma in nursing - JamiiForums
Shukran sanaaaHongereni sana.
Shukran mno...Hongera kwako
Mama asishike mimba kwa angalau zaidi ya Miaka miwili!
Google au nenda hospitali hizi za private wanafundisha mambo hayo yote unayoyataka .ALHAMDULILLAH...ANA SIKU YA PILI SASA... NAOMBENI MNIAMBIE MAMBO MBALIMBALI KUHUSIANA NA CHANGAMOTO ZAO KUANZIA UMRI HUU NA SOLUTIONS ZA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO HIZO...
NA MAMA YAKE AMEFANYIWA OPERATION...
HELP ME ANYONE WITH EXPERIENCE TAFADHALI TO DEAL WITH ALL... SITAKI WAJUAJI WASIO NA MAANA...
NATANGULIZA SHUKRAN SANAA...
Hahahaha hata mimi nilitaka shula essay moja matata ila nikaona nisimchoshe maanasiku mbili bado sana kumtia funzo la hawa manunda wetu waliogika minne nkDuh mkuu utaua , mtoto hata mwezi hajafika unaongelea mambo ya bakora[emoji1] [emoji1]
Mkuu wewe kam baba ukileta uanaume wa dar kwenye malezi utampoteza mtoto. Komaa kiume, mtoto alelewe kwa misingi ya kiafrika na ya kidini, ukiendekeza uzungu kwenye familia yako utampiteza mtoto..ALHAMDULILLAH...ANA SIKU YA PILI SASA... NAOMBENI MNIAMBIE MAMBO MBALIMBALI KUHUSIANA NA CHANGAMOTO ZAO KUANZIA UMRI HUU NA SOLUTIONS ZA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO HIZO...
NA MAMA YAKE AMEFANYIWA OPERATION...
HELP ME ANYONE WITH EXPERIENCE TAFADHALI TO DEAL WITH ALL... SITAKI WAJUAJI WASIO NA MAANA...
NATANGULIZA SHUKRAN SANAA...
Hongera sana mkuu. Kwanza zidisha upendo kwa mama yake, jitahidini mtoto anyonye maziwa ya mama yake tu kwa miezi sita ya mwanzo. Hakikisheni anapata chanjo zote kwani ni muhimu sana,analazwa kwenye chandarua ili kumkinga na malaria na msiruhusu abebwe hovyo na kila mtu wengine wana mafua makali watamuambukiza mtoto. Pia kama ni waislamu mfanyieni dua ya akika pindi anapotimiza siku 7.ALHAMDULILLAH...ANA SIKU YA PILI SASA... NAOMBENI MNIAMBIE MAMBO MBALIMBALI KUHUSIANA NA CHANGAMOTO ZAO KUANZIA UMRI HUU NA SOLUTIONS ZA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO HIZO...
NA MAMA YAKE AMEFANYIWA OPERATION...
HELP ME ANYONE WITH EXPERIENCE TAFADHALI TO DEAL WITH ALL... SITAKI WAJUAJI WASIO NA MAANA...
NATANGULIZA SHUKRAN SANAA...
Hongera sana mkuu. Kwanza zidisha upendo kwa mama yake, jitahidini mtoto anyonye maziwa ya mama yake tu kwa miezi sita ya mwanzo. Hakikisheni anapata chanjo zote kwani ni muhimu sana,analazwa kwenye chandarua ili kumkinga na malaria na msiruhusu abebwe hovyo na kila mtu wengine wana mafua makali watamuambukiza mtoto. Pia kama ni waislamu mfanyieni dua ya akika pindi anapotimiza siku 7.