NIMEPATA MTOTO WA KIUME

NIMEPATA MTOTO WA KIUME

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,651
Reaction score
4,758
ALHAMDULILLAH...ANA SIKU YA PILI SASA... NAOMBENI MNIAMBIE MAMBO MBALIMBALI KUHUSIANA NA CHANGAMOTO ZAO KUANZIA UMRI HUU NA SOLUTIONS ZA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO HIZO...

NA MAMA YAKE AMEFANYIWA OPERATION...

HELP ME ANYONE WITH EXPERIENCE TAFADHALI TO DEAL WITH ALL... SITAKI WAJUAJI WASIO NA MAANA...

NATANGULIZA SHUKRAN SANAA...
 
Hongesaaaaa
 
mtoto akikosea wewe na mkeo mrekebisheni au mpigeni bakora.

Mambo ya kumuita mtoto mpumbavu,kumsimang'a,kujifanya mnamjua sana mara wewe huwezi hiki huwezi kile,sijui wewe mjinga kuliko wenzako.msifanye.

Kama kuna kitu wazazi wana fail ni ku mistreat mtoto kisa kakosea,kama kakosea na kimekuuma unahisi stick zihusike piga stick mwambie kosa,kaa kimya.

Chakula chakula chakula,msimlishe mtoto upuuzi kwa mwavuli eti nampenda mwanangu au kalilia,Hii ni ishu simple lkn kaa na mkeo umwambie kbs.Hamna mapenzi ya kumnunulia mtoto wa mwaka 1 azam energy drink.
 
Duh mkuu utaua , mtoto hata mwezi hajafika unaongelea mambo ya bakora[emoji1] [emoji1]
 
ALHAMDULILLAH...ANA SIKU YA PILI SASA... NAOMBENI MNIAMBIE MAMBO MBALIMBALI KUHUSIANA NA CHANGAMOTO ZAO KUANZIA UMRI HUU NA SOLUTIONS ZA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO HIZO...

NA MAMA YAKE AMEFANYIWA OPERATION...

HELP ME ANYONE WITH EXPERIENCE TAFADHALI TO DEAL WITH ALL... SITAKI WAJUAJI WASIO NA MAANA...

NATANGULIZA SHUKRAN SANAA...
Awali ya yote, ulikunywa pepsi siku ya kufunga ndoo?
 
mapemaaa ajipange mtoto akiwa mchanga tunamtendea haki full kucheza nae, kumbeba akikua tunaanza kum mistreat.

mimi najua mtoto mchanga ni hela,kufuata ushaur wa wazazi na wataalamu na kumbembeleza tu,shida akikua ndo wazazi tunaanza kufeli
Duh mkuu utaua , mtoto hata mwezi hajafika unaongelea mambo ya bakora[emoji1] [emoji1]
 
ALHAMDULILLAH...ANA SIKU YA PILI SASA... NAOMBENI MNIAMBIE MAMBO MBALIMBALI KUHUSIANA NA CHANGAMOTO ZAO KUANZIA UMRI HUU NA SOLUTIONS ZA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO HIZO...

NA MAMA YAKE AMEFANYIWA OPERATION...

HELP ME ANYONE WITH EXPERIENCE TAFADHALI TO DEAL WITH ALL... SITAKI WAJUAJI WASIO NA MAANA...

NATANGULIZA SHUKRAN SANAA...
Bro usisahau kumfunga mtoto vile vidude vyeusi mkononi na kiunoni na umpake ile rangi nyeusi kwenye paji la uso
 
Mashallah, hongereni sana

Ahudhurie clinic maa wa mtoto aweze kupata chanjo na kupimwa uzito na mengineyo ambayo mama akienda huko au mkienda pamoja mtayapata
 
Back
Top Bottom