Nimepata msiba.

Inna lillahi wa inna illahi rajjun!
jamani @yhnna pole sana, sikuona hii thread.
Mamkubwa apumzike mahala pema peponi.

Ahsante mpenz tupo pamoja
 
ahsante sana mimisa

pole sana mie mwenyewe nipo tanga nashinda hospital nauguza my dada ngamiani health center yupo very siriaz Mungu akijaaalia akipata nafuu kidogo kunyanyuka tunakuja nae dar huku ugenini vururuvururu
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wapendwa, nasikitika kuwataarifu kuwa nimepata msiba wa mama yangu mkubwa. Amefariki jana jioni na tunatarajia kuzika leo saa kumi Muheza Tanga. Innalillah wainna illaih rajiuun

pole mpendwa tumuombe mungu kwa yote hayo nasi tujiweke tayari kwa safari R.I.P mama mkubwa
 
pole sana mie mwenyewe nipo tanga nashinda hospital nauguza my dada ngamiani health center yupo very siriaz Mungu akijaaalia akipata nafuu kidogo kunyanyuka tunakuja nae dar huku ugenini vururuvururu
Poleni sana jamani, nakuja tanga jmos ungenipa mawasiliano yako ili nije kuwaona jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…