Nimepata msiba

Nimepata msiba

Salaam wana bodi. nimefiwa na kaka huko moshi. nategemea kuondoka asubuhi kwa ajili ya mazishi kesho. nawatakieni jpili tulivu.

Pole ndugu...Mungu akutangulie safarini na akupe faraja wewe na nduguzo wote...
Halafu siku zote nimekuwa nikihisi wewe ni mtu wa Moshi sijui ni kweli?
 
pole sana Mamkubwa, Mwenyezi Mungu akutie nguvu pia akutangulie wakati wote wa safari. uende salama na urudi salama. . .
 
Pole sana mshiki Mamndenyi. RIP kaka yetu.
 
Last edited by a moderator:
Pole Mamndenyi. Mungu akupe nguvu katika hiki kipindi, pia awafariji wafiwa wote, maana yeye ndiye mfariji mkuu.
 
Pole sana naona kuna makosa ya kiufundi maana hii habari iko chitchat. Mungu wa mbinguni akutie nguvu
 
Pole sana aisee
stay strong....MUNGU akupe nguvu kipindi hiki
 
Pole ndugu...Mungu akutangulie safarini na akupe faraja wewe na nduguzo wote...
Halafu siku zote nimekuwa nikihisi wewe ni mtu wa Moshi sijui ni kweli?

Kama ambavyo namimi nakudhania sana wewe watu8 ni mtu wa Sumbawanga! Tena wa kutoka kwenye familia ya wataalam.
 
Pole sana Mamndenyi.. Mungu akutangulie katika safari uendayo.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mamndenyi.. Mungu akutangulie katika safari uendayo.
 
Last edited by a moderator:
pole dear one kazi ya mungu hainaga makosa mungu akutie nguvu kipenzi bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, wote ni wasafiri ktk msafara huo. Pole sana
 
Pole sana Mamndenyi pamoja na familia yako kwa kuondokewa na kaka.
Mwenyezi Mungu awape faraja na moyo wa subra katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom