Nimepata mpenzi Jf

Jamani nilikuwa nabebika G kazidiwa na usingizi leo kama na huyo wako amekuaga imekula kwako

Nimemwambia baby nachart kidogo jf, kasema sawa but take care jamani nahisi kuzimia yani hiyo tu take care i feel so lovely

Mi wangu kwao mchana saa hii na sio usiku kuwa na amani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila la kheri na Mungu akutangulieee ila usilud unaliaa
 

babe usinitaje jina viranga watanisumbua inboksi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…