Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mama G yupi huyuumaana haka ka jina humu ni kangu
![]()











Niko hapa kuwadaka mimi mkianza kuanguka na presha
Mama G yupi huyuumaana haka ka jina humu ni kangu
![]()











We dada soon utaitwa kwa mkemia mkuuMbona kama mmempenda mtu mmojaa
Mbona kama mmempenda mtu mmojaa

jamani naniii
yanguuu dada 

1. Mpenzi wangu ni mzuri na mwenye nguvu,mashuhuri miongoni mwa wanaume elfu kumi wa hapa jf
2.Kichwa chake kizuri kama dhahabu safi,nywele zake ni za ukoka,nyeusi ti kama kunguru.
3.Macho yake ni kama ya hua kandokando ya kijito,ni kama njiwa waliooga maziwa kando ya kijito.
4.Mashavu yake ni kama matuta ya rihani, kama bustani iliyojaa manukato na manemane.
5.Mikono yake imewekwa bangili za dhahabu
6.Miguu yake ni kama nguzo za alabasta
7.Kinywa chake kimejaa maneno matamu,kwa ujumla anapendeza.
Basi, hivyo ndivyo alivyo mpenzi wangu,naam, ndivyo alivyo rafiki yangu,enyi wana Jamii forum
#Honey najua utapita hapa '
asante kwa kuniona katikati ya wengi, asante kwa upendo unaonipa, Nakuahidi heshima na unyenyekevu, nitakuwa faraja yako wakati wa majonzi, Msaidizi wako wakati wote, Aibu yako itakuwa aibu yangu, shida yako shida yangu, nitakuwa mshauri asiyechoka, Nitakuwa heri kwako siku zote za maisha yetu, Asante kwa kunipenda
#LoveIsSomethingElseWeeSikiaTuKwaJirani
Hahahahaha hapana yatakuwa yamefanana tu usijaliMama G yupi huyuumaana haka ka jina humu ni kangu
![]()





Nimecheka hadi nimeuzi watu
Niko hapa kuwadaka mimi mkianza kuanguka na presha





Wewe si unagonjekaaaKajina kako
Kajina kako
Huyo G wako herufi ya mwisho ni naniDada tumuulize kama tunashea ili tujuane mapemaa Inabidi aongeze herufi ziwe mbili tofauti
jamani naniii
yanguuu dada
![]()


Hahahahaha hapana yatakuwa yamefanana tu usijali![]()
Vumilia dada..Dada tumuulize kama tunashea ili tujuane mapemaa Inabidi aongeze herufi ziwe mbili tofauti
jamani naniii
yanguuu dada
![]()
Niko hapa kuwadaka mimi mkianza kuanguka na presha
Kufanana huko vipiHahahahaha hapana yatakuwa yamefanana tu usijali![]()
Dar es salaamG wako yupo wapi?
Nimecheka hadi nimeuzi watu![]()










