miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
ha ha mkuu vibaya hivyoNilitaka kushangaa usitie team uzi huu looh mungu anawaona muachieni jamaa achune.
ha ha mkuu vibaya hivyoNilitaka kushangaa usitie team uzi huu looh mungu anawaona muachieni jamaa achune.
yingaMALE. mmmh!uzuri nimeshtuka mapema mkuu
Samahanii Dada.... " jamaa Kala papuchii au bado.. Ukinijibu hapa nitakushauri...
hajatumbuliwa kwa vyeti?[emoji2]sioni hajaya kuendelea kumchunguza wakati nshajua lengo lake, dawa ni kumpotezea mazima huyu, akawatapeli walimu wenzie hukooo
Yalishakupata nini mkuu?Hata kama kala ampe tena cha mwisho, WALIMU WENGI WA KIUME NI WACHUNAJI HATARI.
yinga(male). kwema lakinivipi mkuu????
Ameshakufanya matusi? Kama ndiyo basi mpende hadi mizinga iwatenganishe ila kama bado anzisha uzi mwingine...''natafuta mwingine,huyu wa sasa hanifai''Baada ya kupona maumivu ya kuachana na mpenzi ambaye nilitegemea atakua mume wangu, Mungu si athumani nikakutana na kaka mmoja ambae tulijikuta tunaanzisha mahusiano. Kaka huyu anafanya kazi Mkoa mwingine, ila huku nilipo mimi ndio kwao. kipindi nilipokutana nae alikua kaja likizo hivyo baada ya likizo yake kuisha tuliagana vizuri na mawasiliano yaliendelea vizuri tu, akiniahidi mwezi wa tisa ataleta barua ya uchumba nyumbani, na Mungu akipenda basi mwakani tutafunga ndoa.
Wiki mbili baada ya kuondoka, kuna siku alinitumia sms kwamba kuna kiwanja kinauzwa huko anapoishi, nimkopeshe kiasi fulani cha pesa ili akinunue, nilishtuka maana hatuna zaidi ya miezi mitatu toka tumeanza mahusiano. Sikumjibu vibaya nilimwambia kwa sasa sina pesa akakubali kwa shingo upande. Mawasiliano yakaendelea japo sio kivilee kama mwanzoni,
Leo tena nimepokea sms akidai ana shida na laki mbili, hata kama sina basi nijitahidi hata nimkopee kwa mtu atarudisha mwisho wa mwezi huu. Ni kweli nilishaanza kumpenda, ukizingatia nimekua mpweke kwa muda mrefu. Ushauri wenu wakuu huyu kweli ana mapenzi na mimi au anataka kunitapeli then asepe????
So many kwakweli can't even count ..
And I'm do grateful kwakweli this bae of mine yuko kunifanyia sapriz mpaka dahhhhhhhhhhh I feel blessed having Smart911 my king na ulimwengu mzima ujueee tu hakuna namna.
1.My love.. The real one
2. Bearing children
3. Taking care them ( hubby and kids That's all
Hata Smart911 knows that
He told me to tell him any problem I encounter especially on the material issues ndokabisaaa
I feel blessed having him as a responsible babies' papa, a responsible man Smart911 who knows his responsibilities