Hongera sana Dumelo!
Hii Jamii Forum hata mimi ilinipatia mume mwema sana. Yani tupo kwenye ndoa zaidi ya miaka mitatu sasa na tumebarikiwa mtoto pia. Tunapendana na kuheshimiana sana. Ila ni muhimu kuwa na subira kwenye kutafuta na pia kumuomba sana Mungu akuongoze kwenye utafutaji wako.
Baadae namie tuyajenge mpenzialululuuuuuuuuuuu
Kwanini pana mengi mkuu hahahahahahaaaaaaaaaaaaaAma kwa hakika penye wengi pana mengi....
kwanini pana mengi mkuu hahahahahahaaaaaaaaaaaaa
hujui kuwa hiii ndo jf chezea jf weweeeee hapa ni kitivo cha vichekesho na mauzauza ya kila namna
je nawe umepata jf au bado? (jokes)