Nimepata mchumba Bongo movie

jijayetu

JF-Expert Member
Jul 15, 2016
727
561
Salaam

Naombeni dua zenu nimepata mchumba bongo movie jina nalihifadhi mpaka muda utakapofika.
Nitakieni ndoa njema maana wengi wameshindwa kuwaoa hawa vimwana.
Asante
 
Mkuu achana naye huyo,, huwaga hawaolewi hao! Si uliona Ndikumana aijichanganya kwa mrembo mmoja kwani alifika wapi? Unamwona Wema ameolewa? Ulishamwona nani mwana bongo movie ameolewa? Utaishia kugegedewa na akina Ray shauri yako!!
 
mapenzi popote mwacheni mwenzenu
 
Mkuu achana naye huyo,, huwaga hawaolewi hao! Si uliona Ndikumana aijichanganya kwa mrembo mmoja kwani alifika wapi? Unamwona Wema ameolewa? Ulishamwona nani mwana bongo movie ameolewa? Utaishia kugegedewa na akina Ray shauri yako!!
Ngoja nijaribu inawezekana likawa chaguo la Mungu
 
Mkuu achana naye huyo,, huwaga hawaolewi hao! Si uliona Ndikumana aijichanganya kwa mrembo mmoja kwani alifika wapi? Unamwona Wema ameolewa? Ulishamwona nani mwana bongo movie ameolewa? Utaishia kugegedewa na akina Ray shauri yako!!
Ushauri kuntu huu aisee
 
Hiyo inakuwaga chakula ya mapapaa hapa mujini, we jichanganye tuu utajuta utapelekwa kwenye bata hadi uchanganyikiwe muda mwingi wanafikiria bata tu..... Nauona mwishow wako huuuoooo
 
Salaam

Naombeni dua zenu nimepata mchumba bongo movie jina nalihifadhi mpaka muda utakapofika.
Nitakieni ndoa njema maana wengi wameshindwa kuwaoa hawa vimwana.
Asante
mnataka mcheze movie au kufunga ndoa na bongo movie. Labda kwa ndoa ya mkataba. Maana h
ao mabinti wanajionaga Kama wameshushwa Kama malaika. Kutulia kwao wanaona wataonekana washamba.kila la kheri................NB natania tu
 
Na wewe upo kwenye tasnia hiyo? Kama ndivyo hongera maana itakuwa mwendo wa kuachia movie daily.
Kila la heri mkuu
 
Back
Top Bottom