Kwa kipindi hiki cha digital kuna mwanamke utamtumia picha unakula ugali na mrenda halaf aendelee na wewe kwl,kama unavyojua watoto wa kike hupenda kuoneshana pcha za wachumba zao,anaanzaje kuonesha jamaa lake linapiga matonge kwa hapa mjini ni ndoto za alinachaHakuna somo wala fundisho ulilo toa kwa huyo mdada kwa style hii aiseeee.....
Kwanza naweza sema umemuaibisha, na yawezekana sana wewe ndie chanzo hasa cha kujikweza na kujipaisha, na huku ukimtumia mapicha ya viwanja vikali na mapozi ya bei kubwa.
Wanaume wenzio hua tunaenda kama tulivyo, na hata picha hua tunatuma za kawaida, hata ikibidi unatupia moja unakula ugali na mlenda, nyingine uji na viazi, na hata ikibidi unatupia nyingine ukiwa unaendesha [emoji605] swala.
Kwani wewe uko wapi na yeye yuko wapi?Miezi kadhaa nilipost hapa nikitafuta mchumba wa kuoa
Nikapata kama wadada wawili,ktk kuchuja kwangu nikampenda mwenye rangi nyeupe maana mwingine ni black,
Tumechat whatsapp kwa miez sasa bila kuonana lkn tunatumiana picha mbalimbali aidha tupo kazini au nyumbani,
Jana tulipanga appointment ya kuonana na mimi nisingeweza kumfata aliko ila akaomba nimtumie elfu 50 achukue taxi mpaka nilipo,
Sasa nipo dilema najiuliza hivi nitume kweli 50 au niache maana moyo una 6 au ni mhuni maana?
Hapa mjini!
Hakuna utata hapo mkuu...Hahaaaa!Ila kuna wadada watata...!!
Elf 50 nauli anaenda mwanza!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja ajeBila shaka ni Evelyn Salt huyo.
Na kama sio yeye basi ni Madame B.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja aje
Kama uliwah kumpata mtu akakutumia 50 ya nauli ya taxi kutoka hapo ulipo na kwenda km 3 tu i swear atakua labda ni mwanamke sio mwanaume huyomungu Mkubwa mm sijawahi kukutana na machola hadi kuona elfu 50 ni pesa nyingi, tho siwezi kukosa nauri. ila wewe kaka bahili unashindwa kutuma 50? dah what kind of a man? aibu
HapanaBila shaka ni Evelyn Salt huyo.
Haha hatupendagi ujinga sisi.Laiti ungekuwa unajua mtu unayenwambia hayo ni mtu ambaye si wa rika lako Hilo, na tumeyapitia yote hayo, so ninawapeni ushauri tu vijana,Mimi si wa level yako. Ila kama utachukua ushauri chukua, kama unaacha acha.
Ndiomaana nasema....Kwa kipindi hiki cha digital kuna mwanamke utamtumia picha unakula ugali na mrenda halaf aendelee na wewe kwl,kama unavyojua watoto wa kike hupenda kuoneshana pcha za wachumba zao,anaanzaje kuonesha jamaa lake linapiga matonge kwa hapa mjini ni ndoto za alinacha