Nimepata Matatizo ya Kiafya baada ya kujifungua

Embu fanya mazoezi na diet na punguza stress fanyiwa maombi kwa dini yako.
 
Habari zenu. Naombeni ushauri kwa ufupi.

Nimejifungua mwaka huu ila nimepata presha baada ya kujifungua nikavimba na kuumwa kifua sasa.

Hospitali moja wakasema nimepata tatizo la moyo wakanipa rufaa kwenda hospital kubwa lakini wanasema moyo upo salama japo mapigo ya moyo yanapiga sana na haraka, pia baadhi ya vipimo ECG ilisema Ischemia na Possible Heart Enlargement na echo EF 53-58 nna regurgitation ya valve Ila wanasema zipo sawa hazina shida.

Nipo kwenye dawa za presha so nawaza sana kwanini hospital nyingine waseme nina tatizo nyingine waseme sina?
Dada hbr pole Sana kwa changamoto ila shida ulonayo inafanana na yangu kwa asilimia kubwa mm pia baada ya kujifungua naumwa Kama ww nataman kujua maendeleo yako nam nipate faraja au nibp 0752468231
 
Habari zenu. Naombeni ushauri kwa ufupi.

Nimejifungua mwaka huu ila nimepata presha baada ya kujifungua nikavimba na kuumwa kifua sasa.

Hospitali moja wakasema nimepata tatizo la moyo wakanipa rufaa kwenda hospital kubwa lakini wanasema moyo upo salama japo mapigo ya moyo yanapiga sana na haraka, pia baadhi ya vipimo ECG ilisema Ischemia na Possible Heart Enlargement na echo EF 53-58 nna regurgitation ya valve Ila wanasema zipo sawa hazina shida.

Nipo kwenye dawa za presha so nawaza sana kwanini hospital nyingine waseme nina tatizo nyingine waseme sina?
Nibp Dada 0752468231 ninatatzo Kama lako baada ya kujifungua
 
Back
Top Bottom