Nimepata maono dr. Slaa kashinda urais 2015

Nimepata maono dr. Slaa kashinda urais 2015

kutoka kata 3 sasa hivi mpaka 70% ya kura za urais? halafu hapo bado kitendawili cha ukawa kukubali kuongozwa na CDM. Hizi ndio zile wanaita ndoto za alinacha.
 
Kwenye Ndoto hukuonyeshwa nani atakuwa first lady kati ya Rose Kamili na Josephine Mushumbusi?
 
Ndoto nyingine mbaya sana! unaweza hata kujikojolea kitandani!
 
Kuamini wapinzani watashika dola 2015 ni UJUHA tena kiwango cha juu mno.
 
Nimeota ndoto na nimeona maono! Dr Slaa anaingia ikulu 2015. Richmonduli, Dowans, Iptl, vodacom, zitapambana na wezi na majangili ya twiga, meno ya tembo, -huku wakipambana na nani kijana nani mzee wakati wa vijana mara wakati wa wazee mara wakati wa akina mama, mara wakati wa warembo, mara wakati wa kule au huku ? full blast- mpaka wamalize vita vyao tutakuwa tupo magogoni saa nyingi sana.
 
Ccm walijenga shule za kata,zikazalisha vijana wengi wasio na kazi kwa maana ya ajira baada ya matokeo mabaya,wamejenga chuki ya milele dhidi ya serikali dhalimu ya ccm,kila ninapokutanao katika maeneo mengi ya nchi hii wameapa kuipigia kampeni chadema na kura 2015
 
Kwenye Ndoto hukuonyeshwa nani atakuwa first lady kati ya Rose Kamili na Josephine Mushumbusi?

Ha ha ha ha atakuwa yule aliyempora jamaa Mke!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Dr Slaa hawezi kuja kuwa Rais wa Tanzania, na sasa hataweza tena asilimia alizozipata 2010 kwani umaarufu wa Dr Slaa wa 2010 sio umaarufu wa Dr Slaa wa sasa, anashuka vibaya sana.
 
Dr Slaa hawezi kuja kuwa Rais wa Tanzania, na sasa hataweza tena asilimia alizozipata 2010 kwani umaarufu wa Dr Slaa wa 2010 sio umaarufu wa Dr Slaa wa sasa, anashuka vibaya sana.

Kweli kabisa mkuu na hizi hapa chini ndio sababu zilizochangia..
1.Kutafuna ruzuku za chama
2.Kujikopesha hela za chama
3.Kupora Mke wa mtu
4.kupenda migogoro(alivyoLike waraka wa Mwigamba)
e.t.c

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Amen mkuu uliyebeba maono haya makuu, hakika mabadiliko ni mpango wa Mungu.

Ubarikiwe sana kamanda, pia usisite kutushirikisha maono yako mengine Bwana atakayokupa.
 
Ukiwa uchaguzi wenye kila aina ya vituko, hatimaye Dr Slaa aliibuka mshindi kwa asilimia 70 ya kura zote.

Kwa ushirikiano wa karibu sana na vyama vya NCCR, CUF, CDM waliweza kushinda kwenye mikoa ya mwanza, tabora, kagera, shinyanga, mbeya, iringa, arusha, kilimanjaro, manyara, pemba, na kugawana kura vna wahasimu wao mikoa iliyobaki.

Vijana wengi walijitokeza kupiga kura na kuipeperusha bendera ya CDM chini ya mwamvuli wa ushirikiano na vyama tajwa.

Polisi na wanajeshi kama ilivyokawaida walitumika kutisha raia, mabomu mengi sana ya machozi yalipigwa ila wananchi walisema safiri hii haiwezekani.

Dr Slaa aapishwa uraisi 2015.

Kalenga 20% Chalinze 20%, kata tatu chopa tatu. Hilo lilikuwa jinamizi ambao hutamani kuliongelea.

Huo "muono" wako ulikuwa wa gongo.
 
Ukiwa uchaguzi wenye kila aina ya vituko, hatimaye Dr Slaa aliibuka mshindi kwa asilimia 70 ya kura zote.

Kwa ushirikiano wa karibu sana na vyama vya NCCR, CUF, CDM waliweza kushinda kwenye mikoa ya mwanza, tabora, kagera, shinyanga, mbeya, iringa, arusha, kilimanjaro, manyara, pemba, na kugawana kura vna wahasimu wao mikoa iliyobaki.

Vijana wengi walijitokeza kupiga kura na kuipeperusha bendera ya CDM chini ya mwamvuli wa ushirikiano na vyama tajwa.

Polisi na wanajeshi kama ilivyokawaida walitumika kutisha raia, mabomu mengi sana ya machozi yalipigwa ila wananchi walisema safiri hii haiwezekani.

Dr Slaa aapishwa uraisi 2015.
Kweli,hata mimi nina imani hiyo..............viva democracy..viva UKAWA!
 
Back
Top Bottom