Nimepata maono dr. Slaa kashinda urais 2015

Kuongozwa na slaa ni bora niwe mkimbizi.nakushauri usilale na njaa utaota ndoto za ajabu.
 
2015
President........Slaa
PM........Freeman Mbowe
Finance..........Msigwa
Foreign affairs.......Mdee
Mkuu wa mkoa Katavi.....Zito kabwe
Utamaduni vijana na michezo.......Mr two
Utalii.....Wenje
Attoney general .......... Tundu lissu
 
Furaha yangu ni kwamba ukimtaja tu Dr Slaa kila mtu Lumumba ana amshwa hata kama saa tisa usiku. Safi sana wana CCM, endeleeni hivyo hivyo kuishi kwa pressure ya mchezaji mmoja. 2015 uwanja utakuwa umejaa kinoma kipenga ni ikulu tu hakuna namana liwalo na liwe. " Mkicheza na kuleta ubishi wa kuachia ufunguo mtapigwa tu tumechoka"
 
Huyo ni sawa na Messi na Argentina!
 
Back
Top Bottom