Nimepata Kazi Zanzibar. Zipi changamoto na faida wa kuishi huko?

1.usiende na hangover kazini
2.usilazimishe kujichanganya nao huwa wanaamini wabara wabaya lakini wewe ishi vizuri wakikuelewa watakusogelea wenyewe.
3.mda wa kazi ukiisha ondoka wazenj hukuona negative ukiwa unachelewa sana kutoka
4.ishi kama muislamu ikiwemo kusalimia salam alleikhum watu wote.
5.kamwe usimpe mkono mwanamke ni kosa na tusi.mkono ni kwa wanaume tu
6.usitongoze wazanzibar walau mwaka kaka zao hawapendi hiyo bond.
7.usiguse topiki ya dini kabisa wako sensitive sana.
8 .kama umekunywa pombe usitembee mitaani na baa ya kunywa ni za serikali
Moja ccm social hall na ingine police mess kwa huko ndo jenga marafiki wa wabara waishio huko.baa nje ya hizo mbili kwa mgeni sio salama kabisa
9.wazenji wanafitina sana kazini ns kuogopa wabara maana wao wavivu fata sana sheria na kanuni za kazi kukuharibia kazi hawaoni kazi.
10.Kama unapenda sana starehe jikaze kwenye off njoo zifanyie bara
11.usifanye urafiki na wazenji ni wanafiki wabaguzi na wadini ndo hurka yao .ww jifunze kuwatenga usiwe na kuwazoea wala usipende wajue personal life yako .
 
Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu.

Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao.

Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
Zanzibar ni Pemba na Unguja, wewe unaenda wapi tukupe uzuri na ubaya? Ni mlevi?
 
Mimi naishi Zanzibar mwaka wa 16 huu na metokea bara ,maneno unayooambiwa ni uongo ,changamoto kubwa ni gharama za maisha ziko juu kwa sababu pesa inapatikana kirahisi na ya kutosha ,kama ukihitaji msaada wowote mambie .
Mkuu ukitoa Dar kimzunguko wa pesa sehemu inayofata ni Zanzibar mzunguko wa pesa upo vizuti tatito gharama ya Maisha ipo juu. Kule kazi nyingi siyo za taaluma ni za vibarua na wanalipa vizur kwa siku. Na wabara wengi kazi zao ni za hotel na ujenzi na kwa Dada zetu kudanga, Kwa Dada zetu wanapata pesa nyingi sana kwa kutumia kujiuza kwasababu wanaume wakizanzibar washamba wa wanawake, utakuta wanaume wakizanzibar ana mpangia Nyumba au chumba Malaya anayejiuza, wenye mambo ya kujiuza Walikuwa hawa ya jui ni mageni kwao.
 
Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu.

Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao.

Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
Kama huli kiti fire 🐖 🐷 hautapata changamoto nyingine yoyote.
 
Zanzibar ni Pemba na Unguja, wewe unaenda wapi tukupe uzuri na ubaya? Ni mlevi?
Ulevi hauna shida zanzibar ilimradi
1.usipange nyumba ya kushare
2.usilewe nje ya hotel kubwa au ccm na police mess na bot .
3.ukishakunywa uwe na usafiri wa kukufikisha kwako hadi mlangoni usizurure umelewa hutaliwa jicho bali unawakera watu
 
Mimi naishi Zanzibar mwaka wa 16 huu na metokea bara ,maneno unayooambiwa ni uongo ,changamoto kubwa ni gharama za maisha ziko juu kwa sababu pesa inapatikana kirahisi na ya kutosha ,kama ukihitaji msaada wowote mambie .
Kaka inbox namba za simu
 
Ulevi hauna shida zanzibar ilimradi
1.usipange nyumba ya kushare
2.usilewe nje ya hotel kubwa au ccm na police mess na bot .
3.ukishakunywa uwe na usafiri wa kukufikisha kwako hadi mlangoni usizurure umelewa hutaliwa jicho bali unawakera watu
Unguja
 
1.usiende na hangover kazini
2.usilazimishe kujichanganya nao huwa wanaamini wabara wabaya lakini wewe ishi vizuri wakikuelewa watakusogelea wenyewe.
3.mda wa kazi ukiisha ondoka wazenj hukuona negative ukiwa unachelewa sana kutoka
4.ishi kama muislamu ikiwemo kusalimia salam alleikhum watu wote.
5.kamwe usimpe mkono mwanamke ni kosa na tusi.mkono ni kwa wanaume tu
6.usitongoze wazanzibar walau mwaka kaka zao hawapendi hiyo bond.
7.usiguse topiki ya dini kabisa wako sensitive sana.
8 .kama umekunywa pombe usitembee mitaani na baa ya kunywa ni za serikali
Moja ccm social hall na ingine police mess kwa huko ndo jenga marafiki wa wabara waishio huko.baa nje ya hizo mbili kwa mgeni sio salama kabisa
9.wazenji wanafitina sana kazini ns kuogopa wabara maana wao wavivu fata sana sheria na kanuni za kazi kukuharibia kazi hawaoni kazi.
10.Kama unapenda sana starehe jikaze kwenye off njoo zifanyie bara
11.usifanye urafiki na wazenji ni wanafiki wabaguzi na wadini ndo hurka yao .ww jifunze kuwatenga usiwe na kuwazoea wala usipende wajue personal life yako .
Kuna tofauti gani na mfungwa? Tunawaendekeza sana hawa watu mbona sisi hatuwapi haya masharti kuishi kwetu.
 
Me au Ke ? Changamoto chakula kule hasa kama utakaa nje ya mji...
Mind you hiyo nje ya mji ni kama 8-10km kutoka Mjini (stone town), kingine kupata chumba Cha kupanga si rahisi pia, watu wapo tayari nyumba atoe bure kwa ndugu yake lakini si kupangisha,
Pia kama ni Me, mbususu si rahisi kupata pia
Wewe ni pre Tanzanian
 
Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu.

Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao.

Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
Huko kupiga nyeto ni dhambi, kunywa pombe kujiburudisha pia ni dhambi, kula wakati wengine wamefunga ni dhambi, yaani jirani zako ndiyo watakao amua namna ya wewe kuishi maisha yako. Mtu hana hela au kazi, anakula mara moja kwa siku, atataka na wewe uishi kama yeye, Ukifanya tofauti na wao wanakutupia majini.
 
Back
Top Bottom