Nimepata kazi mshahara baada ya makato yote 250k

Wee pambana,mwanzo mgumu Siku zote,kazi yangu ya kwanza nilikuwa nalipwa gross salary 410,000 na allowance 60,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesema garda coz ndio mishahara yao 250k -300k

Huku officer wakila 530k
GardaWorld inafika 260k-280,000/= baada ya makato mkuu.

Kuna special post kama state oil ndo walinzi wananyonya mpaka 560,000/= huko huendi kama wewe sio mjaluo au hujuani na wakubwa!
 
Watu watakuwa na mbinu za kuongeza kipato huko ofisini ama kuiba au kudhulumu muda wa mwajiri. Kumlipa mtu kidogo haisaidii lazima staff atafanya masokoro kwinyo atapata tu mapene
 
Nimesema garda coz ndio mishahara yao 250k -300k

Huku officer wakila 530k
sawa, lakini soma tena thread kuna sehemu kasema " kuna sehemu nimeitwa kazini" halafu fananisha na Kk security position za security huwa wanafanyaje.

Guards hawaitwi kazini mzee
 
Hr kama hr
 
Unaweza kulipwa 250,000 lakini humo humo kwa mwezi ukapata mara 3 ya hiyo au mara 2 ya hiyo.

Huo mshahara unaweza usiiguse. Soma mazingira kwanza
Kwa wahindi ndo kuna pesa nje nje, japo manyanyaso ya kufa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…