Nimepata division 3 ya points 14(Form 6), natafuta mdhamini

henry mathayo

Member
Jul 18, 2017
16
6
Jamani wapendwa, mimi ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na kupata division three ya 14. Nahitaji msaada wa kuendelea na elimu sababu naishi kwenye maisha magumu. Walau nipate mtu wa kuni-support kusoma diploma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana muombe mungu akusaidie upate mdhamini wa uhakika akusaidie katika kuendeleza elimu yako.

Maisha mema nakutakia, henry...
 
samahani kaka umesoma combination gani? maana kuna watu wantoaga fund za kusoma but kwa afya tu, ila pia kama ni sayans unaweza ukaenda ktk taasisi ambazo unaweza ukasomeshwa then ukafanya kwao kwa miaka kama mitano, ila nakutia moyo utapata na utasoma tu hiyo diploma usiogope just trusting God, inawezekana usikate tamaa
 
Enzi za JK ungepeta sana kwani hadi EES walienda vyuoni na mikopo walipata, ila kwasasa andika maumivu mkuu. Subiria hadi 2025. Au tumia cheti cha form four usomee kozi unayotaka uanzie chini hadi ufikie shahada kama ndio lengo. Au rudia mtihani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka pia matokeo ya sasa GS na BAM nayo wanaweka grade A,B,C,D,E,S,na F na wanazihesabu katika kutafuta division.
 
Kabla hujatafuta mdhamini anza fuatilia vyuo vya serikali ada zao na ratiba.....wakat unafanya hivyo utafahamu ni kiasi gani kitakutosha Kwa diploma mpqka unamaliza.....alafu anza Hata ujasiria Mali kupata sponsor wakati hauna hta kidogo cha kuanzia inakua vigumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajijuwa maisha yako, shule unafanya mbwembwe,
miaka hii utapata wapi hata mtu wa kukupa shilingi?
 
Enzi za JK ungepeta sana kwani hadi EES walienda vyuoni na mikopo walipata, ila kwasasa andika maumivu mkuu. Subiria hadi 2025. Au tumia cheti cha form four usomee kozi unayotaka uanzie chini hadi ufikie shahada kama ndio lengo. Au rudia mtihani.

Sent using Jamii Forums mobile app
sio EES, Mkuu the world is not fair nilishuhudia watu na ESS chuo kikuuu afu na chupa za maji kilimanjaro wakiwa masomoni.. inaumiza sana afu leo dogo huyu kajitahidi DDE hapati chuo, kama vp waanze kusafisha hadi makazini kuweka usawa. lasivyo waachane na mambo ya uhakiki.
 
me nakushauri usipoteze mda wako kusoma subiri post za jkt zitoke uende tu jkt utapata ajira uko uko na utaendelea jisomesha ucjali kijana kila kitu kitakuwa safi tuu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom