Nimepata division 3 ya points 14(Form 6), natafuta mdhamini

Nimepata division 3 ya points 14(Form 6), natafuta mdhamini

Kwa miaka hii sidhani kama kuna mtu atakae jitolea kukusomesha (Ukweli ndio huu)
Hapo jaribu kwa ndugu zako hata ufanye kitu tofauti na hayo matokeo mfano omba ndugu yako hata ukasomee ufundi veta
 
Back
Top Bottom