Nimepata ajira ya mshahara wa milioni 1.2, natafuta mke tuanze maisha

Anaenda kuolewa na huyu bwana ajiandae kisaikolojia kabisaaa mtu wa hvi ana shida sana.
Yaani mtu unatoka tu huko unaanza kutangazia watu eti ooh sijui nalipwa 1.2 mara sijui deal nyingne napata zaid ya hyo sijui nataka nijenge mara nna pikipk ...ooh mara kilipanda kikashuka kikakaa pale sijui ikawaje hakuna mume hapa ...
Sijui kama atapata mke ila wezi atawapata
[HASHTAG]#mtoa[/HASHTAG] mada una asili ya majivuno badilika mwanaume hatakiwi kua hivyo *#

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaaa, Msamehe bure ndoo asiri ya Nshomiree

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi sio mjinga.. mtoa mada ame edit.. wakati mimi na mjibu aliandika gross... ndio maana unaona ni wa mwanzo kumjibu..

muulize mara ya kwanza alisema gross au net?

Watu wana take home ya 300,000 na wanafamilia yaani mke na watoto.

Acha kutisha watu ndugu, mtoa mada Kasema take home yake ni 1.2m na ana miradi inayomuingizia zaidi ya mara mbili ya huo mshahara, yaani miradi kwa mwezi inamuingizia zaidi ya 2.4m akiplus na huo mshahara si atakuwa anaearn 3.6m kwa mwezi. Ndo atashindwa kuishi na mke?
 
Ni aje makamanda, I hope mko poa.
Mwenzenu nilijaribu maisha baada ya kiajira changu cha kwanza lakini ikabidi nirudi home kwanza nikajipange upya, hatimae nimepata kazi ya mshahara ambayo kwa kuanzia maisha ya kifamilia sio mbaya (1.2M take home), pia nina dili kama 2 hivi zitakazonilipa mara 2 au 3 ya huu mshahara wa kazini baada ya miezi michache. Mpango wangu ni kuchukua double room ya self nzuuuri mwisho wa mwezi.

Kwahiyo natafuta mchumba/mke tuanze maisha from scratch, yaani kama ni chini tulale coz najua nikishachukua nyumba ntalala chini mwezi mmoja. Nataka mwanamke huyu aje kunisaidia kumanage mambo ya finance na kupangilia mji wetu vizuri, ambae atanisapoti wakati mimi naendelea na mishe zangu.

Sifa zake:
  • Apende kula vizuri. Jamani mimi napenda kula vizuri
  • Ajue kupangilia bajeti na kudili vizuri na pesa
  • Awe anaweza kunishauri
  • Mimi ni mkristo, yeye awe mkristo au muislamu mie fresh tu
  • Awe mweupe, kama sio mweupe basi awe na msambwanda/kalio mubashara, kama nalo hana basi angalau awe amesoma, kama hajasoma basi awe angalau na ajira, kama hana basi kwao wawe vizuri…naamini Mungu hamnyimi mtu vyote.
niPM tuchat chat ndio tupeane namba, kisha tukutane eneo la wazi k.v. mgahawa n.k.

::::::::::::::
Jamani kama ni pesa nitakuwa nazo, huo mshahara nimetaja chanzo changu kimoja tu cha kipato, siwezi kuanika kila ktu...na ni vizuri nikajionyesha sina ili atakaenipenda anipenda kwa hali zote hasa akijua mimi ni potential au nina future au nina uwezo. Natafuta mwanamke/binti anayeweza kuvumilia maisha ya kujinyima, kuzichanga na kuheshimu pesa.

Kulikuwa kuna haja gani ya kusema mshahara wa 1.2m? and una deal ya kukuingizia mara 2 au 3 zaidi, halafu wataka mtu mwanza from scratch? inabidi ukapimwe kichwa kama upo saw
 
Inawezekana hutafuti mke ila umekuja kutangaza kwamba umepata kazi na mshahara huo,na mbaya zaid ni kwamba mwenye nacho siku zote hasemi,we mgen na hela bro,1.2 unakuja kabsa jukwaan kupiga tantalila?watu wanaipata hyo hela kwa siku moja tu na hawasem,mke utakaempata atakusumbua sana na utajuta,utaona hela yako haina maana ukikutana na mwanamke kisiran,
 
Ni aje makamanda, I hope mko poa.
Mwenzenu nilijaribu maisha baada ya kiajira changu cha kwanza lakini ikabidi nirudi home kwanza nikajipange upya, hatimae nimepata kazi ya mshahara ambayo kwa kuanzia maisha ya kifamilia sio mbaya (1.2M take home), pia nina dili kama 2 hivi zitakazonilipa mara 2 au 3 ya huu mshahara wa kazini baada ya miezi michache. Mpango wangu ni kuchukua double room ya self nzuuuri mwisho wa mwezi.

Kwahiyo natafuta mchumba/mke tuanze maisha from scratch, yaani kama ni chini tulale coz najua nikishachukua nyumba ntalala chini mwezi mmoja. Nataka mwanamke huyu aje kunisaidia kumanage mambo ya finance na kupangilia mji wetu vizuri, ambae atanisapoti wakati mimi naendelea na mishe zangu.

Sifa zake:
  • Apende kula vizuri. Jamani mimi napenda kula vizuri
  • Ajue kupangilia bajeti na kudili vizuri na pesa
  • Awe anaweza kunishauri
  • Mimi ni mkristo, yeye awe mkristo au muislamu mie fresh tu
  • Awe mweupe, kama sio mweupe basi awe na msambwanda/kalio mubashara, kama nalo hana basi angalau awe amesoma, kama hajasoma basi awe angalau na ajira, kama hana basi kwao wawe vizuri…naamini Mungu hamnyimi mtu vyote.
niPM tuchat chat ndio tupeane namba, kisha tukutane eneo la wazi k.v. mgahawa n.k.

::::::::::::::
Jamani kama ni pesa nitakuwa nazo, huo mshahara nimetaja chanzo changu kimoja tu cha kipato, siwezi kuanika kila ktu...na ni vizuri nikajionyesha sina ili atakaenipenda anipenda kwa hali zote hasa akijua mimi ni potential au nina future au nina uwezo. Natafuta mwanamke/binti anayeweza kuvumilia maisha ya kujinyima, kuzichanga na kuheshimu pesa.
Hongera mkuu kwa taarifa! Tumejua take home yako 1.2.
 
Maisha mazuri anza kuyatafuta na mwenza wako cyo ,, na cyo upate maisha mazuri ndo utafute mke,,,, utajutaa,,, shida ndo kipimo halisi cha mwanamke mwenye mapenzi ya kweli ,, sawa kaka,,, maisha furahaa na amani vi2 vingine majaaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom