Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,488
- 65,832
Ndugu za mwamko,
Kwa upande wangu ni mbaya nimepata ajali jana wakati natokea Kidimbwi wakati narudi home.
Ilikuwa hivi, nimetoka pale naelekea kwenye parking; wakati natembea nikaona gari inakuja nyuma inayumba yumba na kwa mwendo kasi, nikawa najaribu kuikwepa ndipo iliponizoa na kunirusha huko.
Sijaumia sana lakini, naendelea vizuri kidogo.