Nimeoteshwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeoteshwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yo Yo, Mar 30, 2011.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Wakuu wenzangu kwa heshima na taadhima na mie napenda kuwaambia nimeoyeshwa rasmi...nitaaanza kutoa kikombe kwa Tsh 250/= taslimu pale jangwani effective from jumatatu.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,944
  Trophy Points: 280
  otlines magonjwa .......kama kawa wabongo tutafurika
   
 3. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hahaaaaaa CCM wanafurahia sana hali ya kuoteshwa maana kubanwa kwao kumepungua kabisa watu wamesahau siasa na joto la siasa limepungua kumbe tukiwa bize mambo mengine tunasahau
   
 4. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Haya bana,vp soko limekaaje mkuu?Maana kwa yule wa Rombo sh.100/=Loliondo 500/= yule wa Chahua Chalinze_pwan sh 270 yule Bibi wa Tabora nae plus dogo wa mbeya bure anyway angalia vizuri hapo kwenye bei mkuu. Angalizo .Naamini hautakosa vichwa ,ila tafadharini msije ku2maliza badala ya ku2ponya.Wish u al the best.:panda::
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  duh,..
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hahahahaha unaweza ukafunga Jangwani nzima kwa kula vichwa
   
 7. K

  Kafuta Senior Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Sasa hapatoshi.ngoja tusubir tuone.
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Wasikilizie 2015 watasema sera nzuri za afya ambazo zipo katika llani ya uchaguzi zimewezesha manabii mbali mbali kuwezeshwa na kutibu wagonjwa kwa gharama nafuu ya jelo bila kutozwa kodi.
   
 9. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mtaota sana , kwa maisha haya!
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  JF siku hizi mmmhhh
   
 11. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kikombe chako kitakuwa cha Valeur ama konyagi?
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  yangu macho! Mwaka huu km wa2 watanyweshwa mpk THUMU!!
   
 13. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  hapana mkuu nimeambiwa naweza kupunguza kutokana na maelezo nitakayopewa.....karibuni wapendwa
   
 14. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Gharama yake fanya jiti tu Yo Yo ili Jangwani kufurike!!..usije ukawa umeota lakini:))
   
 15. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  kifaduro
  kisukari
  BP
  Ukimwi
  kipanda uso
  tumbo lisilopona

  nk
   
 16. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  sina fixed price ndoto yangu sikuambiwa bei iwe hiyo tu....la hasha itashuka naweza kuifanya hata 20 inategemea na wagonjwa wangapi nitapata....karibuni
   
 17. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu we unatakiwa utoke kivingine unajua niaje?ingia mikataba na wadau wanaodeal na watengenezaji wa soda,maji hata juice ili ichanganywe humo na kila kwenye lt moja unadaka Tsh 50/= yako zidisha mara idadi mara muda jamaangu utapiga hela hadi kichwa ishike moto.
   
 18. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mimi nitakuwa mmoja wa watakaokunywa dawa yako - naamini mwanJF mwenzetu hawezi kutudanganya.
   
 19. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Haya kuwa fake prophet utamjibu Mungu siku yako ikifika
   
 20. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Halahala usijetunywesha yale maji meusi ya mto Msimbazi?
   
Loading...