Nimeoteshwa Polepole bado yupo hai

Nimeoteshwa Polepole bado yupo hai

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,144
Reaction score
3,459
Dr dogoli kinyamkela ☠️ 💀 pamoja na kwamba tunajihusisha na asili lakini pia, tunamwamini Mungu wa Mbinguni na kuitumikia ( Asili )

« Nikiwa nimelala nimepelekwa mpaka alipo Polepole, Polepole yupo jeshini anadhibitiwa na jeshi. Yupo humo kama Mfungwa hatoki ndani ya geti hilo.

Alikua kwenye mazingira ya kuzungumza akiwa anajirekodi katika maeneo hayo.

Nilipomwona askari mmoja aliniita akaniambia unakuja kufanya nini hapa ondoka. Ndipo nilipomtazama Polepole kwa huzuni na kuondoka mahali hapo penye Ulinzi mkali.
FB_IMG_1772429393126.jpg
 
Dr dogoli kinyamkela ☠️ 💀 pamoja na kwamba tunajihusisha na asili lakini pia, tunamwamini Mungu wa Mbinguni na kuitumikia ( Asili )

« Nikiwa nimelala nimepelekwa mpaka alipo Polepole, Polepole yupo jeshini anadhibitiwa na jeshi. Yupo humo kama Mfungwa hatoki ndani ya geti hilo.

Alikua kwenye mazingira ya kuzungumza akiwa anajirekodi katika maeneo hayo.

Nilipomwona askari mmoja aliniita akaniambia unakuja kufanya nini hapa ondoka. Ndipo nilipomtazama Polepole kwa huzuni na kuondoka mahali hapo penye Ulinzi mkali.View attachment 3550961
Unafaa kutunga riwaya
 
Yaani watekaji wamlishe bure hadi Leo?
Me binafsi Imani yangu inanituma kuwa laZima atakuwa ashauliwa
Siwezi kushangaa akiwa hai kweli, na akiwa hai kama ndugu yake asemavyo itakuwa kinachomlinda ni support ya chini chini ambayo anayo jeshini.

Pengine kummaliza kunaweza pelekea mpasuko, visasi na pengine uasi.
Maana ilionekana wazi 29 Oct jinsi jeshi lilivyo gawanyika.
 
Kwa akili tu ya kawaida, kwa kipi wamuache hai mpaka saizi ? Ivi unajua kwamba kumlinda na kukaa na mateka ni gharama na ni risk isiyoelezeka.
 
H. Polepole ni mzima inajulikana, wala huitaji kuota, na hawawezi kumuua.
Uliona kilichotokea 29/10, na pia kabla ya hapo (vijana wengi waliotekwa). Mimi ni mtu wa mwisho kuwa na mawazo ya kuwaona au kuwasikia tena wananchi waliopotea (i wish niwe wrong). Nilikuwa na hope ndogo kwa sababu yule kaka wa Polepole alikuwa anasema wamemfungia shemu, lakini nilipokuja kusikia anasema na Mdude amefungiwa hiyo sehemu niliona huyu hana info zozote. Hivi kwa kutumia akili tu kuna mtu anaamini Mdude bado yuko hai? Nalaani sana sana mauaji ya Samia na natamani siku moja ahukumiwe kwa ujinga aliofanya.
 
Upo sahihi pia mkuu. Mda ni hakimu mzuri sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom