Nimeota..........!!!

Nimeota..........!!!

Hili swali jibu lake liko Mahakamani ! Hivyo kwa mamlaka niliyopewa na waliyonipa, mtoamada hatakiwi kujibu!

Tunakoelekea kuna siku mtu atadai haki yake kwa mkewe ataambiwa "iko" mahakamani!
 
Hili swali jibu lake liko Mahakamani ! Hivyo kwa mamlaka niliyopewa na waliyonipa, mtoamada hatakiwi kujibu!

Hapa hatujadili mwenendo wa kuchafua chupi!? tumeuliza kama alichafua au la!
 
makubwaaaaa.......timiza ndoto yako.
 
eheeeeeeeerereeee zamani tulikuwa tunasema ukimuota mtu ukashtuka ukageuza shuka lako na yeye anakuota ,hayo maono mkuu ulifunga na kuomba nini?mwambie tu usihofu
 
Itakuwa ni naniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom