Nimeota Nafanya Ngono na Dada angu Tumbo moja

Nimeota Nafanya Ngono na Dada angu Tumbo moja

Wala usipate hofu mkuu,hiyo Ni ndoto ya kawaida na Wala usiwasikilize watakaosema una jini mahaba nk. kwani Ikiwa mtu unayeota ukifanya mapenzi naye sio mpenzi wako au umekuwa ukimmezea mate na hujammezea mate,Haina haja ya kumweleza juu ya ndoto yako.Kwa jumla, ndoto hii huashiria kwamba anayeota anajali anayemuota.

“Ndoto nyingi za mapenzi zinaweza kumaanisha kuwa mtu anahitaji furaha katika maisha yake na anayeota anaweza kuchangia hali hiyo kwà njia tofauti. Kitendo cha kuwa katika uhusiano wa mapenzi katika ndoto kinaweza kumaanisha kuwa unahitaji furaha katika maisha yako na kukuelekeza kwa mtu ambaye kwa njia moja au nyingine anaweza kukusaidia kupata furaha hiyo,”

So kwako mhusika wa ndoto hii wewe relax,Ni ndoto nzuri sana hii.
 
Kuota ndoto unagongana sio tatizo; ila tatizo ni unagongana na nani, sasa ni hivi.......tukiizungumzia kwa upande wa kiimani, inawezekana kabisa kwamba, aidha dada yako alishawahi kutokea kukupenda, ama kupenda mwanaume kama wewe....rejea uzi mmoja humu wa kuhusu maaana ya uchawi kwa mujibu wa wadau wa QUORA, ndoto ama uchawi na namna hiyo ni nguvu kama umeme, huenda fikra za dada ako zinakuathiri hata wewe. AMA!

Umefanya ngono na viumbe wa kiroho, ila wanatumia sura ya dada ako. It happens.

Tukiachana na ulimwengu wa roho, akilini kwetu hutokea reflections ya yale tunayokutana nayo kila siku, kuota unamgegeda dada ako wa damu, si jambo la kushangaa sana since ubongo unaweza kuchanganya picha za watu unaowafahamu, kama unaweza kuota watu usiowafahamu na upo nao kwenye incident zisizoeleweka, sembuse hio?? [emoji23][emoji23] usiogope bro, hata mimi nishaota namgegeda mtu simjui hata kwa uso, yaaani unaweza ota unamgegeda hata kaka yako, dada tuu!!
 
Genye tu , sasa bahati ndo hiyo zimemuangukia dada ako..kama hujachafua shuka basi ni ndoto tu ya kawaida.
 
Matokeo ya ndoto ni vitu ambavyo unaviwaza ila umeshindwa kumalizia, hivyo baada ya kuipumzisha akili yaani kulala usingizi

Vitu vilivyoishia njiani mchana, huanza kujirudia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Any way ni Pepo Hilo kemea
 
Wasalam mabibi na mababu...

Katika hali ya kutatanisha na kustaajabisha usiku wa kuamkia leo nimejikuta nikiota ndoto ambayo sikuitarajia kabisa, nimeota nikimgegeda dada angu kabisa tumbo moja, yani ile bao la kwanza, pili, tatu...........

Basi nikajikuta nimeshituka ghafla na kukaa kitandani huku moyo ukinienda mbio mithili ya saa mbovu, nikajikuta najilaumu nafsi yangu ni nini hiki kimetokea! Ni ndoto gani hii ya ajabu kwangu! Nkajisemesha mbona huwa naota ndoto mbalimbali iweje leo niote twapeana utamu tena na dada angu kabisa, nkajikuta kichwa kuniuma na mawazo tele huku nikikosa jibu.

Ikumbukwe huyu dada angu haijawahi kutokea ata kwa bahati mbaya kumtamani wala kumfikiria kimapenzi mana ni dada angu tumbo moja kwa baba na mama.

Sasa nimekosa majibu waungwana ni nini hasa maana ya hii ndoto?? Wajuzi wa mambo mnisaidie asee mana siku yangu naona ishakuwa mbaya kila nikifikiria ile mikunjo na ule uroda tulofanya ndotoni...
Sasa sikia mgegede maana huo ni ufunuo,utimize

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ulitumia muda gani kumbamiza huyo dada yako bao zote hizo, tena ukiwa ndotoni? Vipi ulifurahia show?

Siku ukiota kujinyonga, ni vyema ukajinyonga tu. Maana hakuna namna. Ndoto ya kishetani kabisa hiyo.
 
Kuna mdau hapo juu kasema inawezekana dada Yako anatamani kua na Mwanaume wa kariba Yako hivyo matamanio yake Kila siku yanajenga Picha flani Hivi Kama imagination hivyo katika ulimwengu wa roho hiyo kitu inaenda kukuathiri wewe sababu ni damu Moja

Hiyo ni nadharia tu ila hua inatokea Katika ukoo wetu Mama yangu na mama zangu wadogo wakiwa wajawazito kaka zao ambao ni wajomba zangu hua wanapata mauza uza mengi mfano utakuta kunguni au chawa zimezuka ghafla tu nakuwatesa Sana ingawa mazingira ya nyumba yanakua hayaruhusu viumbe hao hii hali hutokea endapo mjamzito atakua hajasema Kama ana ujauzito hivyo huanza kuulizana jamani Kuna majirio matakatifu?😂😂
Akijitokeza tu muhisika hiyo hali ya hao wadudu hupotea ghafla Yani!

Nadhani ni mambo Kama hayo hiyo ndoto ipotezee tu hata haikuhusu wewe ni ujumbe tu wa dadaako kutafuta Mwanaume wa kariba Yako!
 
Wala usipate hofu mkuu,hiyo Ni ndoto ya kawaida na Wala usiwasikilize watakaosema una jini mahaba nk. kwani Ikiwa mtu unayeota ukifanya mapenzi naye sio mpenzi wako au umekuwa ukimmezea mate na hujammezea mate,Haina haja ya kumweleza juu ya ndoto yako.Kwa jumla, ndoto hii huashiria kwamba anayeota anajali anayemuota.

“Ndoto nyingi za mapenzi zinaweza kumaanisha kuwa mtu anahitaji furaha katika maisha yake na anayeota anaweza kuchangia hali hiyo kwà njia tofauti. Kitendo cha kuwa katika uhusiano wa mapenzi katika ndoto kinaweza kumaanisha kuwa unahitaji furaha katika maisha yako na kukuelekeza kwa mtu ambaye kwa njia moja au nyingine anaweza kukusaidia kupata furaha hiyo,”

So kwako mhusika wa ndoto hii wewe relax,Ni ndoto nzuri sana hii.
Bora wewe umeona katika mwonekano mwingine, wengi wetu tunatazama katika ubaya tu.
 
Back
Top Bottom