Nimeota Nafanya Ngono na Dada angu Tumbo moja

Nimeota Nafanya Ngono na Dada angu Tumbo moja

Kuota ndoto ya dizain hiyo kiroho inamaana unatenganishwa na either kuna kitu umekipanga kufanya ama kupatakazi au dili zuri mfano labda unategemea hela kutoka kwenye biashara yako au mzigo may be next week kwaiyo jamaa wanawahi kukuotesha kwa kuzini ili mradi usifanikiwe ilo jambo katika ulimwengu wa mwili isikutishe sana kwamba umengonoka na dada ako ni mbinu tu ya shetani iyo kama hujasisimama kwenye maombi anaweza hata kukuotesha unangonoka na mama ako au baba ako na ikishatokea ivo ujue dili mipango yako itaharibika....nakushauri kemea iyo ndoto kwa kuikataa katika ulimwengu wa kiroho maana tayari wameshapanda uovu ingawa katika ulimwengu wa mwili bado hakitokea ila soon kitatokea kwaiyo batilisha shauri lao lisitokee katika ulimwengu wa mwili .....wengine wataongezea

Wasalam mabibi na mababu...

Katika hali ya kutatanisha na kustaajabisha usiku wa kuamkia leo nimejikuta nikiota ndoto ambayo sikuitarajia kabisa, nimeota nikimgegeda dada angu kabisa tumbo moja, yani ile bao la kwanza, pili, tatu.

Basi nikajikuta nimeshituka ghafla na kukaa kitandani huku moyo ukinienda mbio mithili ya saa mbovu, nikajikuta najilaumu nafsi yangu ni nini hiki kimetokea! Ni ndoto gani hii ya ajabu kwangu! Nkajisemesha mbona huwa naota ndoto mbalimbali iweje leo niote twapeana utamu tena na dada angu kabisa, nkajikuta kichwa kuniuma na mawazo tele huku nikikosa jibu.

Ikumbukwe huyu dada angu haijawahi kutokea ata kwa bahati mbaya kumtamani wala kumfikiria kimapenzi mana ni dada angu tumbo moja kwa baba na mama.

Sasa nimekosa majibu waungwana ni nini hasa maana ya hii ndoto?? Wajuzi wa mambo mnisaidie asee mana siku yangu naona ishakuwa mbaya kila nikifikiria ile mikunjo na ule uroda tulofanya ndotoni.
Wewe umeota dada , wenzio hadi mama ila huwa tunazipuuza coz ni ndoto tu
 
Wala usipate hofu mkuu,hiyo Ni ndoto ya kawaida na Wala usiwasikilize watakaosema una jini mahaba nk. kwani Ikiwa mtu unayeota ukifanya mapenzi naye sio mpenzi wako au umekuwa ukimmezea mate na hujammezea mate,Haina haja ya kumweleza juu ya ndoto yako.Kwa jumla, ndoto hii huashiria kwamba anayeota anajali anayemuota.

“Ndoto nyingi za mapenzi zinaweza kumaanisha kuwa mtu anahitaji furaha katika maisha yake na anayeota anaweza kuchangia hali hiyo kwà njia tofauti. Kitendo cha kuwa katika uhusiano wa mapenzi katika ndoto kinaweza kumaanisha kuwa unahitaji furaha katika maisha yako na kukuelekeza kwa mtu ambaye kwa njia moja au nyingine anaweza kukusaidia kupata furaha hiyo,”

So kwako mhusika wa ndoto hii wewe relax,Ni ndoto nzuri sana hii.
Maliza kabisa ujue moja
 
Back
Top Bottom