Nimeonja pendo lako

Nimeonja pendo lako

hahahah...okay so jiandae kabisa....saa moja unusu, nakupick..next sunday

Sawa sawa mkuu, i hope na vitenge vyangu vya mgawo kutoka kwa Kloro hutanisahau...nakuwa mmama....9t 9t...mi go sleep!
 
huu wimbo huwa sichoki kuusikiliza... B.Mukasa katika tungo alinikamata kweli
 
Nimeonja pendo lako nimejua u mwema
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe
Nitawaongoza vema waimbe kwa furaha
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.

Ukarimu wako (Bwana), na huruma yako (wewe), msamaha wako (Bwana), na upole wako (wewe) umenitendea wema usiopimika
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe.

Watawa warukeruke waimbe kwa furaha
 
Asante ni wimbo mzuri. Hata Mamndenyi ameona upendo wa Mungu
 
Last edited by a moderator:
Daaah. Kesho inabidi nikashiriki liturjia mkuu, maana nimesahau hata ni dominika ya ngapi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom