unajua kazi ya ukunga ni ngumu sana just imagine kwenye kuzalisha mara kucheki njia kama imeshafunguka...Tajiri umepigwaje ban tena pombe hazipatani na jf laizma uropokwe tu😂
Ni kazi ngumu sana aisee, kama hapo kwenye kupima njia jamani, min wa watu anateseka acha apunguze stress na pombe tu🤦🏽♀️unajua kazi ya ukunga ni ngumu sana just imagine kwenye kuzalisha mara kucheki njia kama imeshafunguka...
Alambe tu GambeNi kazi ngumu sana aisee, kama hapo kwenye kupima njia jamani, min wa watu anateseka acha apunguze stress na pombe tu🤦🏽♀️
OkSijui
min -me huwa anapigwa ban ya masaa tu sijui ameset vipiHahaha imekuwaje umepost huku umepigwa BAN
Ban za min -me huwa hazidumu coz ni platnum memberTajiri umepigwaje ban tena pombe hazipatani na jf laizma uropokwe tu😂
de Gunner nimeona reply yako , unasema mimi ni daktari nisiye na kitu , nikitoka kazini napitia bar kulewa tu , ndio nasumbua jf🤣
Mimi kweli asili yangu ni nurse, mimi ni muuguzi na mkunga , MD ndio nimeanza kusoma juzi tu , kwa sababu nilipata gs f tu , same boys kipindi hicho😅
Kitu kinaniingizia madola ya pesa za kutisha mpaka sasa ni midwife & nursing , hizi fani ndio tunakimbiza kwa pesa sasa hasa kimataifa , na ukiwa umetokea afrika acha kukaaa kifala
View attachment 3666881
Naona de gunner mpaka hapa Kesha poteza PAMBANO
Mwanangu min me Mimi naenda mwagilia moyo mziki kwa mbalii
Kitu kinaniingizia madola ya pesa za kutisha mpaka sasa ni midwife & nursing , hizi fani ndio tunakimbiza kwa pesa sasa hasa kimataifa , na ukiwa umetokea afrika acha kukaaa kifala
Huyu jamaa nina wasi wasi huwa ananipiga ban na mimi huyuNdio dakika 5 aisee!