Nimeona picha ya Mtoto kalazwa kwenye meza kituo cha Mabasi ya Mwendokasi nimesikitika sana

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
988
3,318
Ukiona hadi mtu kafikia kufanya maamuzi ya kumlaza mtoto kwenye kituo cha mwendokasi na mtoto kapotea usingizini basi jua hapo magari hamna mtu kakaa weee hadi mtoto kalala kapotea usingizini mama kachoka kumbeba kaona amlaze kwenye meza

IMG_20240112_202729.jpg
 
Ungewachukulia Uber/Bolt waende kwao kama kweli ulikuwa na upendo la sivyo wewe ni mnafiki mkubwa sana.
Ukiona hadi mtu kafikia kufanya maamuzi ya kumlaza mtoto kwenye kituo cha mwendokasi na mtoto kapotea usingizini basi jua hapo magari hamna mtu kakaa weee hadi mtoto kalala kapotea usingizini mama kachoka kumbeba kaona amlaze kwenye meza

View attachment 2870045
 
Si ndo uwape hela ya bolt au iwanunulie baby walker. Mwanaume hasifiwi kuvimba vimba kifala fala
Mpk naongea hivyo ujue najali sana damu yangu sijakurupuka.

Kutoa bby walker na hela ya uber haimaanishi hivyo vitu vitaelekezwa ktk matumizi stahiki.. mara nyingi Wanawake wanabadiri matumizi stahiki kwa manufaa yao binafsi.

Yupo tyr hela ya kula mtoto anunulie wigi au akasuke na mtoto apate lishe mbaya.
 
Back
Top Bottom