Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Ya nini nijitese miyee
Usijitese mzee baba jipe raha.... ila hizi raha sio nzuri maana wanabaki wao tena kwa muda mrefu tu ila sisi ndiyo tunakwenda chini ya udongo mapema. Babu yangu alikufa mwaka 1981 wakati bibi yupo mpaka leo hii na ameshasahau kama aliwahi kuwa na mume na hiyo ni upande wa baba tu, kwa upande wa mama babu alikufa mwaka 1988 ila bibi yupo mpaka leo hii.
 
Hatuwali tena. Tumegundua kumbe tunajimaliza wenyewe kisha tunakufa mnabaki nyie. Tumezoea kusema aaaaah yule dem nimesha mla lakini kinyume chake sasa sisi wanaume ndo tunakuwa tumeliwa......... maana tunapofanya mapenzi mwanamke yeye ana GAIN wakati mwanaume ana LOSE na ndiyo maana babu yangu alikufa mwaka 1981 wakati bibi yupo mpaka leo hii. so what the hell is this!!!!!!?
🤣 mwamamke anagain nini hasa na mwanaume analoose nini?
 
Mbegu zikijaa zinaanza kutaka kutoka zenyewe hapo unajikuta unaanza kuota ndoto za kufanya mapenzi,
Kutoka zenyewe sio shida.... shida ni kuzitoa wewe kwa kuamua maana huwezi piga bao tatu kwa ndoto nyevu pekee ila ukiwa juu ya kiuno cha demu hapo zinapigwa hata bao nne na zaidi kitu ambacho sio kizuri kwa afya ya mwanaume hata kidogo.
 
Wasalaaaaaaaam wadau.... Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.

Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.......

NoFap.... ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani eidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.

Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.

Niombeeni wadau katika hiu challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.

Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,

Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.

If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.
Mkuu wewe hii utaiweza maana juzi tu hapa umetoka kutuambia kua wewe starehe yako ni uvinza.
Kila la kheri.
Lakini kuchakata mbususu lazma kuendelee kama kawaida. If NO FAP inahutajika, then ntajifunza zaidi about being multiorgasmic ili nisimwage
 
Hi nzuri ina faida zifuatazo.
-inakuepusha na magonjwa ya kuambukiza kwa njia ya ngono.

-inakuepusha na nuksi.
-inakuepusha na majanga mbali mbali mfano,mimba zisizo tarajiwa,kufumaniw nk.
-inakuepusha na vizinga mwambatano.

-unapata utulivu wa nafsi.
-akili inajikita kwenye ukuaji wa uchumi wako.
-Unarejesha nguvu upya za sexx
 
Mkuu wewe hii utaiweza maana juzi tu hapa umetoka kutuambia kua wewe starehe yako ni uvinza.
Kila la kheri.
Lakini kuchakata mbususu lazma kuendelee kama kawaida. If NO FAP inahutajika, then ntajifunza zaidi about being multiorgasmic ili nisimwage
Hatariiii hahaha..... hebu tia tia nyama kidogo hapo kwenye "multiorgasmic"
 
Hi nzuri ina faida zifuatazo.
-inakuepusha na magonjwa ya kuambukiza kwa njia ya ngono.

-inakuepusha na nuksi.
-inakuepusha na majanga mbali mbali mfano,mimba zisizo tarajiwa,kufumaniw nk.
-inakuepusha na vizinga mwambatano.

-unapata utulivu wa nafsi.
-akili inajikita kwenye ukuaji wa uchumi wako.
-Unarejesha nguvu upya za sexx
Umeenda mule mule mtaalam.... kongole saaana.
 
Back
Top Bottom