Mwana mke mwenye makalio makubwa (yasiwe kama ugonjwa) anavutia kimuonekano kuliko mwanamke mwembamba. Akatizapo mwanamke mwenye ---- lililo jaa vizuri sawa na mwili wa muhusika kila kidume lazima kigeuke kumuangalia haijalishi ni mavazi gani aliyo vaa hata avae na kujitanda khanga huku kichwani kabeba gunia la mkaa na jasho likiwa lina mmwagika bado vidume tuta pagawa,wapo watakao jikwaa na wapo watakao vunja shingo kwa kumsororea bila kusahau sisi wengine wenye ugonjwa na viumbe dizine hiyo tutajawa na mate midomoni kama tuna mimba changa. lakini kimbau mbau (maumbo ya kimisi) hata avae chupi tu hato angaisha roho za watu wengi, ispokua macho yameumbwa bila pazia kwahiyo watu hawataacha kumuangalia na ukizingatia kavaa chupi.
Akifika chumbani ndio utashuudia atapovua nguo utadhani mbuzi no hips no makalio yupoyupo tu mbele hachezi nyuma hatingishiki kazi kwelikweli mambo ya town
Hukuona zile boxer za wanaume zilizituna mbele ili ionyeshe mtu ana kitendea kikubwa?Juzi jamani nilimsindikiza wife kununua nguo town,in fact alihitaji mlizi fulaani hivi!
Alinipeleleka duka la nguo za ndani ili achukue mzigo....cha ajabu nilishuhudia dada mmoja toka mkoa akichukua chupi ambazo zimetuna nyuma dozen nyingi tu !
Nikahoji hii ndio nini !....nikaambiwa naishi wapi !
Hizo eti nichupi za kumfanya mwanamke aonekana anamakalio makubwa!zimewekwa kasponji fulani hivi
sio hiyo tu pia kuna vikaptula vya kumfanya mtu aonekane ana hips za haja!
Ama kweli hii ni dunia ya urembo
hiyo nayo mupyaHukuona zile boxer za wanaume zilizituna mbele ili ionyeshe mtu ana kitendea kikubwa?
Hukuona zile boxer za wanaume zilizituna mbele ili ionyeshe mtu ana kitendea kikubwa?
Juzi jamani nilimsindikiza wife kununua nguo town,in fact alihitaji mlizi fulaani hivi!
Alinipeleleka duka la nguo za ndani ili achukue mzigo....cha ajabu nilishuhudia dada mmoja toka mkoa akichukua chupi ambazo zimetuna nyuma dozen nyingi tu !
Nikahoji hii ndio nini !....nikaambiwa naishi wapi !
Hizo eti nichupi za kumfanya mwanamke aonekana anamakalio makubwa!zimewekwa kasponji fulani hivi
sio hiyo tu pia kuna vikaptula vya kumfanya mtu aonekane ana hips za haja!
Ama kweli hii ni dunia ya urembo
Akifika chumbani ndio utashuudia atapovua nguo utadhani mbuzi no hips no makalio yupoyupo tu mbele hachezi nyuma hatingishiki kazi kwelikweli mambo ya town
Akifika chumbani ndio utashuudia atapovua nguo utadhani mbuzi no hips no makalio yupoyupo tu mbele hachezi nyuma hatingishiki kazi kwelikweli mambo ya town
Hukuona zile boxer za wanaume zilizituna mbele ili ionyeshe mtu ana kitendea kikubwa?
nami nitumie lipi sasa Elli?we acha tu wife ana genge lake la kuuza nguo sasa anaogopa vibaka! Ila kuanzia sasa nitaanza kuwaangalia kwa jicho la tai wanawake wenye makalio na hips kubwa!
........
........
nimemshauri mama watoto aziweke dukani kwake ...sisi si twafuta fwedha! au mnaonaje