Peter jaluo
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 1,750
- 253
Leo niliingia katika mtandao.moja nikiwa na chart Dada Fulani baadaye nikawa nacheki picha zake zingine zikawa lock nikamwomba anifungulie.Dah nikaambiwa kuziangalia ni 10000 naweza kuweka picha humu