Lady niece
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 953
- 414
jamani watu nyie mna mambo
mtangaalia na visivyoangaliwa
mtangaalia na visivyoangaliwa
Leo niliingia katika mtandao.moja nikiwa na chart Dada Fulani baadaye nikawa nacheki picha zake zingine zikawa lock nikamwomba anifungulie.Dah nikaambiwa kuziangalia ni 10000 naweza kuweka picha humu