he heeeee kazi ipo hapo
siajabu moyoni kashakuchagua kweli kashindwa kukwambia tu
Ukimaliza kuchani hiyo, ukachane na ile ya bomani ili kufuta ushahidi!Hapana The Boss
Huyu rafiki angu nilimwonea huruma sana alivyopangiwa huko Tabora ndanindani.
Hatuna feelings kabisa.
The easy way kutoka huko ndo hyo suggestion.
Original certificate nitakaa nayo yeye nitampa copy, akishahamishiwa dar naichana na kila mtu anaendelea na maisha yake,
Habari zenu wakuu.
Nina rafiki angu (sio mpenzi, just a friend) mwalimu amepangiwa mkoani halafu porini sana.
Leo kaniomba twende tukafunge ndoa za bomani ili apate cheti akaombe transfer arudishwe Dar (kwa mume wake).
Akishahamishiwa Dar ndoa yetu inavunjika kila mtu na maisha yake.
Naombeni msaada wa kunieleza ndoa za bomani zinakuwaje.
Shukrani kwa msaada.
Hapana The Boss
Huyu rafiki angu nilimwonea huruma sana alivyopangiwa huko Tabora ndanindani.
Hatuna feelings kabisa.
The easy way kutoka huko ndo hyo suggestion.
Original certificate nitakaa nayo yeye nitampa copy, akishahamishiwa dar naichana na kila mtu anaendelea na maisha yake,
Kongosho hata mimi nimeuliza hilo swali lakini sijajibiwa!Je huyo mumewe na huyo mwalimu atajisikiaje mkewe anapofunga ndoa na jamaa mwingine?!Kwa nini asifunge na mumewe?
Hapana The Boss
Huyu rafiki angu nilimwonea huruma sana alivyopangiwa huko Tabora ndanindani.
Hatuna feelings kabisa.
The easy way kutoka huko ndo hyo suggestion.
Original certificate nitakaa nayo yeye nitampa copy, akishahamishiwa dar naichana na kila mtu anaendelea na maisha yake,
Bulldog,,umsaidie mfunge ndoa arudishwe Dar kwa mume wake????!!Kwa nini hasimwambie huyo mumewake wakafunga hiyo ndoa?