Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa



Achana naye, utaharibikiwa bure
 
Sisi wanaume tunaojielewa tukishafumania wake zetu kinachofata na talaka tu!!!!!

Only kama utamfuma. Vinginevyo, ataendelea kuku-cheat huku bado akiwa mke wako.
 
Umeongea kitu sahihi kabisa
 
Mwanamke mpumbavu humbomoa nyumba yke kwa mikono yke mwenyewe,,,, acha ujinga tulia na mmeo
 
Umenipa nguvu sana.Hujui namna nilivyofarijika na huu ushauri.Asante sana
 
'ukiambiwa wewe ni boyfriend haimaanishi uko peke yako' - mwanafa

Sasa nami naongeza ukiambiwa wewe ni mume haimaanishi uko peke yako. Yan umeolewa n una hadi watoto bado unataka kutoka nje.

Nitachelewa sana kuoa.
 
Ipo siku hasa penzi likikolea atafumwa tu

Yeah, so utasubiri mpaka penzi lao likolee siyo eh? wiki, mwezi, wiki au mwaka, miaka?

Remember, if something is worth doing, it's worth doing right. Women are cleaver at this one.
 
achana na huyo shetani dear hata kama una nyege bora ukapige game mbali huko heshima hainunuliwi mamii
....Huyo shetani mnamsingizia tuu, kinachomsumbua huyo ni tamaa tuu ya mwili, ambayo kwa kiasi kikubwa ameipandikiza mwenyewe kwa kumuwaza kichwani all the time...Kweli wanaume tumeumbiwa mateso. Eti oooh jamaa anaonyesha kunijali sanaa, hivi kuku ukitaka umkamate umchinje si ni lazima umbembeleze kwa kumtupia mtama? Huyo akishagonga mashine soon atakuona wa kawaida tuu.
 
Angalia mazuri tu ya Mme wako usiangalie mabaya alafu hurumia watoto maana hujui huyo jamaa anamatatizo gani mfano magonjwa ukimwi which will affect your kids. Mwogope Mungu na uone hiyo sauti ya mwanamme ni shetani katika ukware wa kukupotezea reputation yako. Be careful mwombe sana Mungu akupe jicho la tatu katika hili. Kitendo cha masaa machache kitakuharibia heshma yako iliyopo milele
 
Yeah, so utasubiri mpaka penzi lao likolee siyo eh? wiki, mwezi, wiki au mwaka, miaka?

Remember, if something is worth doing, it's worth doing right. Women are cleaver at this one.
Ni bora akakanywa ili asifanye na kutofanya ni mpaka huyo officemate aghairi la sivyo atamkula tu! Ila akae akijua kuwa siku ya arobaini inaweza kufika kesho au miaka 20 ijayo atafumwa tu. Imagine wewe ungalikuwa ni mumewe ungefanya nini maana hatujui wake zetu wanafanya nini. Si ajabu huyu aliyefungua uzi ni mke wangu na mimi nipo natoa ushauri! Tumwachie Mungu ila kwa vile lornapm yupo online ngoja nichungulie mke wangu kama yupo JF nikalilie chooni
 
Nawashukuru kwa mawazo yenu wapendwa.Napata nguvu ya kulishinda hili jaribu
....Huna lolote tamaa za mwili na umalaya vinakusumbua, eti napata nguvu ya kulishinda hili jaribu.
 
Angesema kama jamaa yake alie naye kama in bed ni mzigo kama yupo poa achana na mawazo hayo heshima ni pale tu mume hajakugusa hilo tatizo unalitafuta mwenyewe
 
Pole sana Kwa majaribu kikubwa muombe Mungu wako atakuepusha katika hilo jaribu kwani usaliti sio kitu kizuri.
Ahsante!!!
 
mmmh!!!!! una umuri gani kuuliza swali la kitoto kama hilo. jaribu tu utajutia throughout your life kazi ya mwanaume ni tamaa hatuna future namwana mke ambaye hana msimamo eti " na mfeel ana nicare" ujinga mtupu...ulitumia kifaa gani kupimia feeling na care!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…