Thank u so much.Haya maneno yamenipa nguvu Sijui nisemeje!Wengi wanakimbilia kunijudge hawajui ninayopitia kwenye ndoa.Sema tu whateva I have been going thru haijustify mm kucheat.I kno that for sure na ndo maana ninajitahidi kushinda huu mtihani.Please never argue with him or never give him any reason to feel he that you ere jealousy, I am married and I know the value of beautiful decent women n a mother, they are hard to come.
Your value and image at your current position is very high, usijiangushe hata kidini.
Also call your collegue in the office face him with courage, tell him you respect him for admiring you, but he should be decent to respect other pls wife. Kama unaweza muulize JEE angefurahiya kumuona mama yake akimdhulumu babayake, atashtuka ama kukasirika, than tell him that's what I don't want for my children.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]achana na huyo jamaa bora angekua ofisi ya mbali sio hapo asee
Yap YOLO. Kuhimili ONS siyo raisi halafu ni muke ya mtu. Ampotezee jamaa na kurudisha majeshi kwa mheshimiwaYOLO bana! BelindaJacob![emoji3]
Yani huyu keshalegezwa na jamaa huku anaheshim ndoa dah tuna kazi ngumu aisee nlivo muelewa anataka njia za kumudu nje na ndani na si vinginevyo kama ntakua sijakosea mii simpi wazo langu huyuachana na huyo jamaa bora angekua ofisi ya mbali sio hapo asee
Mnajua watanzania mna matatizo sana!Pole sana dadangu kwa pepo la tamaa linalojaribu kukuteka ili upoteze ndoa yako. M nakushauri epuka hilo jaribu kumbuka kiapo cha ndoa. All man we are the same
Women need to be Appreciates, they need to feel wanted, they need to praised. Even DUH MKE WANGU HIKI CHAKULA LEO KITAMU SANA, MAKES A BIG DIfference .Thank u so much.Haya maneno yamenipa nguvu Sijui nisemeje!Wengi wanakimbilia kunijudge hawajui ninayopitia kwenye ndoa.Sema tu whateva I have been going thru haijustify mm kucheat.I kno that for sure na ndo maana ninajitahidi kushinda huu mtihani.
mliona kimjinimjini sasa hapo ndio kuachana kimjinimjini kumefika.hapo naisi mliona mkiwa wote michepuko samahaniWakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.
Mi nimeolewa nna miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia ndoa.Jamaa aliyenioa ni msomi na anajua kuitafuta hela.Kiufupi tuna maisha mazuri nina kila kitu nachokihitaji km nyumba,usafiri wa maana na two beautiful kids.
Ktk kipindi cha ndoa nimepitia changamoto kwa huyu mume wangu.Kiufupi anapenda starehe pombe kwa sana na company za washikaji.Me sio mnywaji wala sitoki kiivo nikitoka job ni home kuangalia watoto na nyumba.Kiufupi ni mke mwema flan!!yes najiamini kwa hilo.Jamaa nishafumania msg za wanawake mara kibao ila naishia kusamehe na sikuwahi kuwaza kulipiza.Huwa nasali sana nikipitia hizi changamoto na Mungu ananivusha salama.
Sasa basi kilichonifanya nilete huu uzi jamvini ni situation niliyonayo now.Kiufupi miezi km 6 iliyopita nimekutana na jamaa ktk kazi flani.Jamaa ana mvuto na alikua ananipa attention flan ivi throughout..Tuliclick haraka sana tukawa close.Ilitokea tu sijui kwa nn..Nilinotice jamaa ananicare vby sana. Mwanzo nilichukulia poa ila siku zilivoendelea kwenda nikaanza kumfeel taratibu.
The eye contact was awkward btn us na imefika mahali najiona nashindwa kuresist.Nikiwa nae under one room nashindwa kabisa napoteza uchangamfu naishiwa pozi kbs.Jamaa anaonyesha interest za wazi ila najikaza knowing kwamba am married ataniona a cheap woman.
Huwa tunaongea mambo mengi na ananieleza issues zake kibao.Kuna siku alinifungukia ila nikavunga nikamwambia its better tuwe mbalimbali coz me ni mke wa mtu na siwezi cheat on my husband.Baada ya hapo akanikaushia km wiki.Aisee nilikonda kwa mawazo.Baadae tukaanza kuwasiliana upya na jamaa anaomba kidate na mm anataka tuspend tym wawili.Kashanialika kwake mara kibao nachomoa.Imefika mahali najiona ntashindwa huko tunakoelekea siko.
Kiufupi kinachonitatiza ni haya yafuatayo:
1.jamaa anajua me ni mke wa mtu so its obvious anataka game tu hakuna mapenzi.
2.Since ni coworker baada ya game ntamwangaliaje ofcn?
3.Naogopa reputation yangu among my workmates wakijua nimetoka na jamaa since wanaume hawana siri.Aisee mi ni mdada nayejiheshimu na wananiona nina bonge la mume.
4.Namfeel mno jamaa na siimagine kupotezea hizi feeling.Ni mtu anayenifanya niwe happy muda wote,confident about myself na I feel lyk a woman again.
Wakuu nisaidieni namna nitakavyohandle hii situation maana naumia kiukweli natamani niuridhishe moyo wangu ila nawaza consequence,kumpotezea jamaa nashindwa naumia at the same time sitaki kuharibu maisha yangu.
nyege kwani mume hana ..tamaa tuachana na huyo shetani dear hata kama una nyege bora ukapige game mbali huko heshima hainunuliwi mamii
Maswala ya hisia ni YA Sisi wenyewe kuyalea moyoni. Na yanaepukika. Apunguze mawasiliano na huyo jamaa na kuondoa attention kwake. Aepuke kuwa naye hasa katika mazingira ya wawili peke yao.Mambo mengine bora yaishie hapo hapo hata kama hisia ni kali sana. Mkishafanyana utajutia nakwambia, hamna jipya ni mihemko tu.
Kuwa busy na issue zingine ili coworker akutoke akilini.
Thanx kwa ushauri.Kwa jinsi nlivyosoma maelezo yako inaonyesha kumekosekana ile furaha ya mapenzi baina yako na mumeo.if thats the case then tafuta namna ya kulirekebisha hilo.kama haitawezekana then angalia ustaarabu mwengine.maana sidhani uliingia kwenye ndoa kwaajili ya kulea watoto na kuitwa mke wa fulani,kile kilichokufanya uingie kwenye ndoa the first time.kitafute
Asante sana kwa kunielewa.Its exactly what i needed.Mtu anishauri bila kunihukumu.Umenipa nguvu ya kukataa hii hali.Huo ni ushetaji mama. Unaingia katika majaribu makubwa. Hapo huna wa kumraumu baadae ila ni nafsi yako. Achana nae kabisa mama. Hiyo ni starehe ya muda mfupi ila madhara ni makubwa. Hamnaga siri hata kidogo. Hebu jaribu kuyashinda hayo majaribu mama. Tena usilogwe ukampa ndo ushaharibu ndoa yako. Mungu hakupi vyote. Achana nae kabisa tena kabisa. Ushinde moyo wako wako mama.
Well said.....nafikiri Dada achukue ushauri wako.kwanza mwanaume anaekutaka na wewe ni mke wa mtu jua hakupendi wala hana akili
anakupenda kwa sababu anajua wewe ni cheap huna gharama na akishakukula atakuzarau kama takataka vile na kukutangaza utashangaa unatongozwa na ofisi nzima