Nimeokota peni ya ajabu

inshallah kaka
 
kama ulivyotuhadithia jinsi ulivyoiokota hyo peni,basi tunakuomba mkuu utuhadithie jinsi ulivyoenda huko kupima na mambo yaliyotokea huko.na suluhisho ni nini
 
Sifahamu kama wewe ni mteja wa maduka haya....lakini kuna vitu ukiingia ndani ya maduka yao nilishuhudia ....wewe nenda kaingie utaniambia haswa ukinunua vitu vya mali nyingi. Na sio kama nawahukumu. Hapana ndiyo njia yao yakupata utajiri. ...
Please dadavua Isis ...
 
Unatafuta wa kumla kichwa wewe sio bure.. almasi hata kama ni mara yako ya kwanza kuiona utaijua tu huitaj kuuliza mtu... nachokiona unatafta mtu aingie kichwa kichwa umle kitoga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…