LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,388
Umeokota, umeikuta?
Jamani, uko wapi uncle buji, its mine
Kumbe Bajaji nayo gari? Kweli atawapata!mkuu bujibuji utang'oa sana mademu wa jf kwa huo mkwara..."the guy is so honest,and he's got a car too"
Kweli athibitishe ama afute kauli,lol
Mambo miss chit chat? mwacheni bujibuji huwa anazo za kurukia barabara tu. hawezi kuwa accuse mademu wazuri kama wewe namna hii tumriport abuse?
Huyu siyo fisadi mwenziwe mbarara zomba wewe,huyu ni mwanainchi mwenye uchu na wanainchi wenzake,kama mlikuwa naye kule ulafini ameamua kuwatoka kitambo na amekuja katika jamii na huu ni udhibitisho tosha kwamba ni mwanainchi mpenda wanainchi wake!
Hata kama ameokota,ameikuta yeye kwa kuwa si fisadi ameamua kuitangazia umma! Kazi kwako mtumwa zomba
kama kuna mtu anajihisi nimemuofend na gono lake ajitokeze nimuombe msamahaWatake radhi tafadhali.
kama kuna mtu anajihisi nimemuofend na gono lake ajitokeze nimuombe msamaha
umepata...... mya kwa myaaKaona ya kizamani huyo hana lolote, halafu anajidai alimpa lifti! kumbe ni teksi dereva!
Hamjui kusoma katikati ya mistari?
sio bajaji ni kibagaduKumbe Bajaji nayo gari? Kweli atawapata!
hata za kuvikia barabara sina.Mambo miss chit chat? mwacheni bujibuji huwa anazo za kurukia barabara tu. hawezi kuwa accuse mademu wazuri kama wewe namna hii tumriport abuse?
Jamani, aliyepoteza mini laptop yake anitafute.
Nilikupa lift jana jioni maeneo ya Posta, kwa bahati mbaya ukaisahau laptop yako kwenye gari yangu.
Kwenye mazungumzo yetu ulijitambulisha kuwa wewe ni JF member, uliteremka mitaa ya Morocco
kama unajihisi wewe ni genuine owner wa hiyo laptop just call me on 0717454455

Poa,no usimripot labda alikutana na mwenye gono huwezi jua!
Jamani, aliyepoteza mini laptop yake anitafute.
Nilikupa lift jana jioni maeneo ya Posta, kwa bahati mbaya ukaisahau laptop yako kwenye gari yangu.
Kwenye mazungumzo yetu ulijitambulisha kuwa wewe ni JF member, uliteremka mitaa ya Morocco
kama unajihisi wewe ni genuine owner wa hiyo laptop just call me on 0717454455
kaka mbona kama una bifu na mchaga mwezio Mkuu Rombo??kweli mtafungua duka pamoja hapo manzese namna hii??